Zafrain sag
JF-Expert Member
- Sep 14, 2019
- 238
- 354
Walikuwa very strictly kwenye umri mwisho ilkuwa miaka 28 wakat wa usaili,Miaka 29 walitemwa wakiwemo watt wa mabrighedia wastaafu walitemwa.Yeah jamaaaa yuk kundi namba mbili ...time wako makutu figisu zilikuwa nying watu wa 1993 wengine watoto wa wakubwa wakala za uso umri