Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Yeah jamaaaa yuk kundi namba mbili ...time wako makutu figisu zilikuwa nying watu wa 1993 wengine watoto wa wakubwa wakala za uso umri
Walikuwa very strictly kwenye umri mwisho ilkuwa miaka 28 wakat wa usaili,Miaka 29 walitemwa wakiwemo watt wa mabrighedia wastaafu walitemwa.
 
Walikuwa very strictly kwenye umri mwisho ilkuwa miaka 28 wakat wa usaili,Miaka 29 walitemwa wakiwemo watt wa mabrighedia wastaafu walitemwa.
Yes na wanangu 4 wawil watoto wa ma brigedia madktar umri ulizid na wawil watoto wa makanali Moja mtoto wa Col Alikuwa na mshono wote walitemwa
 
Aisee Zanzibar ni noma kuna chief yupo zenji ananiambia nafas za polis zinauzwa milion 4 na watu wanazinunua kinyume chake hautoboi Zanzibar nako ni kugumu katk michako ya ajira tena anasema huyo anaefanya hivo ni wa ngaz za juu na ni mkuu ktk kitengo Cha ajira
 
Aisee hivi ni kweli kwa wale wanaofanyia usaili mikoani baada ya usaili kuisha majina yote yanatumwa makao makuu alafu makao makuu ndio wanachagua watu, au mkoani hapo hapo wanachagua watu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Yani kama mkoa unatakiwa utoe watu 20 inamaana majina kama usaili mlikua 100, majina yote mia moja yanaenda makao makuu alafu wao ndio wanafanya kazi yakuchagua au mkoani hapo hapo ndio wanatoa hao watu 20

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
mkuu ungeweka code kidogo maana hii ishu ikitoka nje ya humu inaweza leta shida
Aisee Zanzibar ni noma kuna chief yupo zenji ananiambia nafas za polis zinauzwa milion 4 na watu wanazinunua kinyume chake hautoboi Zanzibar nako ni kugumu katk michako ya ajira tena anasema huyo anaefanya hivo ni wa ngaz za juu na ni mkuu ktk kitengo Cha ajira
 
Nimesikia sikia hivyo kama kuna mtu anaejua utaratibu ulivyo tujuzane asee

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mkuu hakuna jeshi la waswahili Kam si polis kuna mwana niliwah kumskia hivo ila aliniambia ni kama alimuondosha njian tu asimuharass coz alimwambia kua mm jina lako nimelipelek ila makao huko huenda wakalikata kwa sabab wanachagua wenyew but ni njia tu ya kumtia tamaa hatar San
 
Nimesikia sikia hivyo kama kuna mtu anaejua utaratibu ulivyo tujuzane asee

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Huyo niliemskia yeye ni binti kwa hio anamwambia nafasi za wanawake ktk jeshi la polisi ni kidogo mara anamwambia asubur janaur watatoa tangazo mara hivi ila reason ashaijua kua Hana mshiko anahis atamsaidia Bure tuombe Mungu na SS atupe chenye kher na SS ila kweny polis mthn uswahili mwingi
 
Back
Top Bottom