Nafasi za kazi Wizara ya Kilimo hizi hapa

Hivi wakuu hapa tangazo ni 1 ila institution tofauti na inatakiwa kutumika anuani 1 kwenye barua vp naweza kuomba sehemu zaidi ya 1 yani labda wizarani, TARI na ASA??
 
Unaweza ila hautaweza.

Siku ya usahili mara nyingi huwa ni moja na muda uleule. Wakati mwingine watu wa TARI na wizara wanaweza ingia hall moja kwaajili ya usahili muda huo huo wakatenganisha tuu na aina ya pepa au kulia wakakaa tari na kushoto wizara
 
Ok, wasi wangu ni pale tu kwenye kuomba ikaonekana umetokea sehem nying haiwezi kukupunguzia qualifications?

Kuitwa usaili sinaweza nikaitwa sehemu moja tu kati ya nilizoomba au ikitokea zaid ya 1 nikachagua panapowezekana? Hiyo ipoje?
 
Wewe umefanikiwa kuomba..?
 
Ok, wasi wangu ni pale tu kwenye kuomba ikaonekana umetokea sehem nying haiwezi kukupunguzia qualifications?

Kuitwa usaili sinaweza nikaitwa sehemu moja tu kati ya nilizoomba au ikitokea zaid ya 1 nikachagua panapowezekana? Hiyo ipoje?
Omba zote ambazo una sifa yaani kama una sofa ASA, TARI, WIZARA zote omba na wao kama unakidhi vigezo zote watakuita kama usaili utakuwa muda mmoja basi utachagua wewe ufanye ipi ila kila moja itakuwa na namba yake hivyo kuwa makini usichanganye namba , lakini kama muda tofauti utafanya zote hawatakuzuia. Ushauri kama zote zitakuwa muda 1 fanya nyenye watu wachache ila kwa upande wa maslai TARI wapo juu kuliko wizara sijajua ASA na TARI nani yupo juu ila ASA na TARI ...wizara hawafikiii
 
Zina goma bila shaka hawajaweka mfumo sawa
Sawa bosi, Ila kama utapata other way ya kuzuga Mtandao ili ikubali basi uje utushtua hapa. Nimejaribu kuomba Hadi nimechoka naona nitai-confuse tu account yenyewe hii.
 
Omba zote ambazo una sifa yaani kama una sofa ASA, TARI, WIZARA zote omba na wao kama unakidhi vigezo zote watakuita kama usaili utakuwa muda mmoja basi utachagua wewe ufanye ipi ila kila moja itakuwa na namba yake hivyo kuwa makini usichanganye namba , lakini kama muda tofauti utafanya zote hawatakuzuia. Ushauri kama zote zitakuwa muda 1 fanya nyenye watu wachache ila kwa upande wa maslai TARI wapo juu kuliko wizara sijajua ASA na TARI nani yupo juu ila ASA na TARI ...wizara hawafikiii
Hivi mkuu kama ndo ameomba hvyo na kaitwa zote ni Bora ufanye yenye idadi nyingi ya post,, au we unaona Bora ufanye ambayo mmeitwa wachache..?
Kwa mfano Kuna kazi Ina Post 15 Usaili mmeitwa 400 na Kuna kazi Ina Post 4 mmeitwa watu 99.. hapa ni Bora kufanya ipi..?
 
Gawanya hapo ndio utajua wapi kuna nafasi nyingi 400/15 = 26.6 na 99/4=24.7 hivyo hapa tofauti ni ndogo lakini bora kwenye post 4. Hata hivyo maslai mi muhimu kama taasisi yenye post 15 iko njema bora huko aiseee. Mfano dereva TRA KUWE NA POST 5 ila mmeitwa 20 , HALMASHAURI Post 20 ila mmeitwa 30. Idadi ndogo ipo Halmashauri kuliko TRA ila kutokana na maslai bora ufanye TRA. MAANA TRA DEREVA 850000 wakati HALMASHAURI 350000
 
Halmashauri ndo kunafanya watu wachukie utumishi wa UMMA
 
Hivi mkuu kama ndo ameomba hvyo na kaitwa zote ni Bora ufanye yenye idadi nyingi ya post,, au we unaona Bora ufanye ambayo mmeitwa wachache..?
Kwa mfano Kuna kazi Ina Post 15 Usaili mmeitwa 400 na Kuna kazi Ina Post 4 mmeitwa watu 99.. hapa ni Bora kufanya ipi..?
Siku zote kazi zenye maslahi mengi au mshahara mkubwa, ushindani pia huwa ni mkubwa sana. So if you can't afford to loose, never try. Usijeshangaa siku ya usahili ASA au tari watu 5000 wakati wizara 600. Sasa hapo ndio utaamua ujitose wapi
 
Kweli kabisa ...cha msingi aombe kote kisha kama ataitwa kote acheze na namba yaani idadi ya waliowasili kwa usaili na idadi ya post zinazogombaniwa, wahenga wanasema bora nusu kuliko kukosa kabisa
 
Omba zote ambazo una sifa yaani kama una sofa ASA, TARI, WIZARA zote omba na wao kama unakidhi vigezo zote watakuita kama usaili utakuwa muda mmoja basi utachagua wewe ufanye ipi ila kila moja itakuwa na namba yake hivyo kuwa makini usichanganye namba , lakini kama muda tofauti utafanya zote hawatakuzuia. Ushauri kama zote zitakuwa muda 1 fanya nyenye watu wachache ila kwa upande wa maslai TARI wapo juu kuliko wizara sijajua ASA na TARI nani yupo juu ila ASA na TARI ...wizara hawafikiii
Ahsante sana mkuu, nimekupata vizuri.

Tuliomba ila mpaka leo mkeka bado sijui nini kinaendelea kule!
 
Back
Top Bottom