Kigoma Independent
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 3,519
- 2,055
Hizo zote zitaambatana pamoja na za TRA,MDAs&LGAs na ASA&TARI ni kuwa wavuamilivu na kuhutumia huu muda kwa maandalizi bora.Ahsante sana mkuu, nimekupata vizuri.
Tuliomba ila mpaka leo mkeka bado sijui nini kinaendelea kule!
Nimekuelewa sana mkuuHizo zote zitaambatana pamoja na za TRA,MDAs&LGAs na ASA&TARI ni kuwa wavuamilivu na kuhutumia huu muda kwa maandalizi bora.
Utumishi walivyo na roho mbaya watapanga usahili wa post zote muda mmoja ili kupunguzia watu wigo wa risk. Maana kuna walioomba post zoteHizo zote zitaambatana pamoja na za TRA,MDAs&LGAs na ASA&TARI ni kuwa wavuamilivu na kuhutumia huu muda kwa maandalizi bora.
FISA Kilimo mliyotokewa written interview NAOTAhsante sana mkuu, nimekupata vizuri.
Tuliomba ila mpaka leo mkeka bado sijui nini kinaendelea kule!
Tunazisubiri sana hizo tukaijaze DodomaWizara ya kilimo bado kizungumkuti kutuita katika usaili aise,, huu ni mwezi wa nne kimya sio poa.
Ww Kwa kada ipi mkuu?Tunazisubiri sana hizo tukaijaze Dodoma
Ww Kwa kada ipi mkuu?Tunazisubiri sana hizo tukaijaze Dodoma
Una shida na kada yangu mkuu..?Ww Kwa kada ipi mkuu?
Hapana kama itakuwa moja tunaweza ku share material na mapemaUna shida na kada yangu mkuu..?
Maana inaonekana ni mtu sirias na makiniUna shida na kada yangu mkuu..?
Mimi niliomba za ASA.. ?.. kama umeombea hzo tu aweza peana maswali regardless ni Diploma au degree maana maswali ya kada moja kama hzo yanafanana tu hamna levelHapana kama itakuwa moja tunaweza ku share material na mapema
Mimi nliomba za TARI na NiRCMimi niliomba za ASA.. ?.. kama umeombea hzo tu aweza peana maswali regardless ni Diploma au degree maana maswali ya kada moja kama hzo yanafanana tu hamna level
Mimi nliomba za TARI na NIRCMimi niliomba za ASA.. ?.. kama umeombea hzo tu aweza peana maswali regardless ni Diploma au degree maana maswali ya kada moja kama hzo yanafanana tu hamna level
Mkuu watu wa ASA tayar majina yao yapo kule katika website ya utumishiMimi niliomba za ASA.. ?.. kama umeombea hzo tu aweza peana maswali regardless ni Diploma au degree maana maswali ya kada moja kama hzo yanafanana tu hamna level
Mimi nliomba za TARI na NIRC
Mkuu watu wa ASA tayar majina yao yapo kule katika website ya utumishi
Hongera mkuu, naona mna kama siku 5 za matayarishoNdio tumeitwa mkuu..
Wewe yako uliyoitwa Ina siku ngapi za kujiandaaHongera mkuu, naona mna kama siku 5 za matayarisho
Kwanza me naona hapa ni kujiandaa kipesa ili itufikishe huko.. kuhusu maswali mambo ni mengi Kila kitu unakiona kimooooooooooh😁😁Hongera mkuu, naona mna kama siku 5 za matayarisho
Hizo hizo tano kama sikoseiWewe yako uliyoitwa Ina siku ngapi za kujiandaa
Vp mkuu, naona unasubiria placements Sasa.Hizo
Hizo hizo tano kama sikosei