Nafasi za kazi Wizara ya Kilimo hizi hapa

Tume ya taifa ya umwagiliaji (NIRC) chini ya wizara ya kilimo wamekuwa kimya sana yapata mwezi wa tano sasa, hawajaita watu katika usaili.
Kuanzia irrigation engineers, civil engineers, agricultural officer, mechanical engineer na technician(irrigation).

Au tayari zimeshatiwa kapuni??
 
Hizi bado mkuu tunaziwait
 
Hzo zote zitatoka pamojah ziko chini ya Wizara ya kilimo..
Mkuu we uliomba ipi hapo..?
 
Hivi hawa wizara ya kilimo wataita lini?

Kitaani kugumu mamaeee daaah tujue moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…