kikoozi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2015
- 2,094
- 3,108
mtapata wote mkuu, niamini mimi ninacho kuambiaAccounts assistant
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mtapata wote mkuu, niamini mimi ninacho kuambiaAccounts assistant
ndio, niamini mimi kuwa kazi utapata na wote mtapataNashukur kwa kunipa moyo kk.. Ila umeshawah kusikia situation hii kk maan inaniumiza kchwa
Msaada kwa wadau mwenye uzoefu au aliyewahi kukutana na situation hii
Ni lazima afikishe 50 percent ndio unaweza kupata ajira utumishi hata kama kwenye hiyo nafasi uko mwenyewe.mtapata wote mkuu, niamini mimi ninacho kuambia
Ndio lazima ufikishe 50 percent kwnye oral interview. Kwanza juulize kwa nini nafasi zipo 12 na mmeitwa 8 hizo nyingine zitatangazwa kama ambavyo pia mkishindwa kufikisha hizo aslimia hamsini pia watatangaza.Una experience yeyote juu ya ishu km hii??
Hyo ni saw je una uzoefu n Hali hii au umeshawahi kusikiaNdio lazima ufikishe 50 percent kwnye oral interview. Kwanza juulize kwa nini nafasi zipo 12 na mmeitwa 8 hizo nyingine zitatangazwa kama ambavyo pia mkishindwa kufikisha hizo aslimia hamsini pia watatangaza.
ona sasa umeulizwa Course, wewe unajibu Designation😂🤣🤣Accounts assistant
si muda wote assumptions ufanya kazi.Ww kwl saa7 mchana jua la utosi.. Mm nilimuelewa nd mana nilimjibu hvyo.. Yeye alitaka kuulza kada gan? Course kwn tupo chuo hapa..
Mkuu hujawahi kuona kazi zikiwa readvatized? Ndio hivyo kama hujafikia viwango hawakuchukui sababu upo pekeyako wanatangaza mpk wampate atakayefikia vigezo ndivyo sera ya ajira ilivyo.Hyo ni saw je una uzoefu n Hali hii au umeshawahi kusikia
Nmeshaona sna ila nataka kusikia experience za watu Co assumptionMkuu hujawahi kuona kazi zikiwa readvatized? Ndio hivyo kama hujafikia viwango hawakuchukui sababu upo pekeyako wanatangaza mpk wampate atakayefikia vigezo ndivyo sera ya ajira ilivyo.
Haya mkuuNmeshaona sna ila nataka kusikia experience za watu Co assumption