Nafasi zimetangazwa 12 Utumishi interview tumeenda 8. Je, kuna uwezekano kweli wa kupata kazi wote au sheria ndo inafuata mkondo?

Nafasi zimetangazwa 12 Utumishi interview tumeenda 8. Je, kuna uwezekano kweli wa kupata kazi wote au sheria ndo inafuata mkondo?

Hapo wote mmeshapata kazi hao 4 wamechukuliwa kwenye kanzi data,ndivyo inavyokuwaga mara nyingi so hongera sanaa
Asante kk.. Yan hapa presha inapanda presha inashuka
 
Ni bora kwenye maisha ufanye interview zako mwenyewe
Interview kubwa ya kufanya kila siku ni ya kutafuta hela
Hili ni bonge la interview kuliko hizi za kuulizwa maswali uliyosoma past 15yrs
 
Una experience yeyote juu ya ishu km hii??
Ndio lazima ufikishe 50 percent kwnye oral interview. Kwanza juulize kwa nini nafasi zipo 12 na mmeitwa 8 hizo nyingine zitatangazwa kama ambavyo pia mkishindwa kufikisha hizo aslimia hamsini pia watatangaza.
 
Hyo ni saw je una uzoefu n Hali hii au umeshawahi kusikia
 
Km hamna mtu mwenye uzoefu na situation hii bora akae kmya usijibu kwa uelewa wako.. Subirini nitarudi na majibu hapa PDF ikitoka
 
Ww kwl saa7 mchana jua la utosi.. Mm nilimuelewa nd mana nilimjibu hvyo.. Yeye alitaka kuulza kada gan? Course kwn tupo chuo hapa..
ona sasa umeulizwa Course, wewe unajibu Designation😂🤣🤣
 
Hyo ni saw je una uzoefu n Hali hii au umeshawahi kusikia
Mkuu hujawahi kuona kazi zikiwa readvatized? Ndio hivyo kama hujafikia viwango hawakuchukui sababu upo pekeyako wanatangaza mpk wampate atakayefikia vigezo ndivyo sera ya ajira ilivyo.
 
Mkuu hujawahi kuona kazi zikiwa readvatized? Ndio hivyo kama hujafikia viwango hawakuchukui sababu upo pekeyako wanatangaza mpk wampate atakayefikia vigezo ndivyo sera ya ajira ilivyo.
Nmeshaona sna ila nataka kusikia experience za watu Co assumption
 
Back
Top Bottom