Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Good workNa ndio naingia jf nakutana na hii😂
Ametaja nyimbo nyingi ambazo ni average Sana
Real Top 20
1) Mtazamo - Prof, solo, afande
2) Hawatuwezi - N2N
3) Mchizi wangu remix - N2N feat all stars
4) Daressalaam Stand up - Chid benz
5) Kamanda - Daz nundaz
6) Bongo Dsm- Prof jay
7) Niaje Nivipi - Joh makini feat Nikki
8) Hii Leo - Gk, Ay, Fa
9) Mikasi - Ngwair
10) Zali la mentali - Prof Jay
11) Stimu zimelipiwa - Joh Makini
12) Nyumbani ni Nyumbani - Tmk wanaume
13) Usiulize - Rado
14) Kwenye chati - Balpzi
15) Ukisikia Paah - Jcb
16) Mstari wa mbele - kalapina
17) Darubini - afande sele
18) Muziki - Darassa
19) Fid q.com - Fid q
20) Hili game - Juma nature
Mad ice_baby girl Mika mwamba alikamua Sana beats za kuimba na alichangamsha Sana gemu..Bila kuonaa ngoma alizo produce Mika Mwamba labda hii orodha ni ya watu wa early 2000s.
Bongo fleva inabebwa na nyimbo za zamani kuliko za sasa mfano nyimbo kama:-
- Kamanda _ Daz Nundaz
- Barua _ Daz Nundaz
- Tamala _ Hard Mad
- Mpenzi _ Dudu Baya (sina hakika na jina)
- Kama vip _ Mez B
- Salome _ Dully Sykes
Alafu ndio zije hizo za hiphop/rap sasa
Mika ni hatari, umenikumbusha mbali sana. Alafu hii na Tamala ya Hard Mad ni kama zinataka kufanana hivi.Mad ice_baby girl Mika mwamba alikamua Sana beats za kuimba na alichangamsha Sana gemu..
Hizo ngoma ukizisikiliza hata leo yaan Kama zimetoka leo..Mika ni hatari, umenikumbusha mbali sana. Alafu hii na Tamala ya Hard Mad ni kama zinataka kufanana hivi.
Ungeandika kiswahili. Hiki kiingereza cha ugoko.why did you left my number one by diamond paltnumz...?
ali kiba dushelele
jumature ~ mtoto idi
faza Nelly -nini dhambiKuna wimbo mmoja unaimbwa then unaonyesha mlima k.njaro jamaa amevaa singlendi sikumbuki nani aliimba lkn jamaa alichana sn hio hip hop
Hara blasters crew enzi hizo 1999/20001. CHEMSHA BONGO - Prof J...huu ndio ulikuwa game changer ya Bongo Flavor...
Nimetazama huu uzi wote nikasema ina maana JF imejaa mambumbumbu wa watu muziki mpaka nilipokutana na comment yako.1. CHEMSHA BONGO - Prof J...huu ndio ulikuwa game changer ya Bongo Flavor...
diss track kweliHizo ni ngoma unazozipenda wewe.
Unaijua ile ya rado-usiulize?
Ondoa hiyo atleast ungeweka mabinti19: FA - Bado Nipo Nipo