Nafikiri hizi nyimbo 20 za rap ya Bongo ndizo bora kwa muda wote

Nafikiri hizi nyimbo 20 za rap ya Bongo ndizo bora kwa muda wote

Na ndio naingia jf nakutana na hii😂

Ametaja nyimbo nyingi ambazo ni average Sana
Real Top 20
1) Mtazamo - Prof, solo, afande
2) Hawatuwezi - N2N
3) Mchizi wangu remix - N2N feat all stars
4) Daressalaam Stand up - Chid benz
5) Kamanda - Daz nundaz
6) Bongo Dsm- Prof jay
7) Niaje Nivipi - Joh makini feat Nikki
8) Hii Leo - Gk, Ay, Fa
9) Mikasi - Ngwair
10) Zali la mentali - Prof Jay
11) Stimu zimelipiwa - Joh Makini
12) Nyumbani ni Nyumbani - Tmk wanaume
13) Usiulize - Rado
14) Kwenye chati - Balpzi
15) Ukisikia Paah - Jcb
16) Mstari wa mbele - kalapina
17) Darubini - afande sele
18) Muziki - Darassa
19) Fid q.com - Fid q
20) Hili game - Juma nature
Good work
 
Bila kuonaa ngoma alizo produce Mika Mwamba labda hii orodha ni ya watu wa early 2000s.

Bongo fleva inabebwa na nyimbo za zamani kuliko za sasa mfano nyimbo kama:-

  • Kamanda _ Daz Nundaz
  • Barua _ Daz Nundaz
  • Tamala _ Hard Mad
  • Mpenzi _ Dudu Baya (sina hakika na jina)
  • Kama vip _ Mez B
  • Salome _ Dully Sykes

Alafu ndio zije hizo za hiphop/rap sasa
Mad ice_baby girl Mika mwamba alikamua Sana beats za kuimba na alichangamsha Sana gemu..
 
Hivi hizi list zenu mnazoweka ni nyimbo za zamani pekee au? Kwamba hakuna wimbo wa hivi karibuni unaofaa kuingia kwenye list bora ya hip hop muda wote bongo?

Iko wapi chochote popote ya Joh Makini? Stimu zimelipiwa?
 
Tatizo la hizi list, huwa ni ngumu kutofautisha kati ya wimbo bora na hit song.. Sasa wimbo bora huangalia quality ya muziki, hit song huwa inaangalia mainstream success...

Hapo ndo mtihani ulipo na nimepitia list zote naona kuna confusion tu 😁

Kwa haraka haraka nyimbo ambazo zimetick vigezo hivyo viwili, "pasipo kuangalia mpangilio"

1. Solo thang - Mtazamo
2. Nako2Nako - Hawatuwezi
3. Prof jeezy - Zali la mentali
4. Fid Q - Sihitaji Marafiki
5. Chid Benz - Dar Es Salaam stand up
7. Geez Mabovu - Mtoto wa Kiume
6. Soggy Doggy - Kibanda cha simu
7. Ngwair - Mikasi
8. Witness ft. Fid Q - Zero
9. Roma - Mathematics
10. Darassa - Muziki
11. Joh Makini - Stimu zimelipiwa
12. Ay & Fa - safi hiyo
13. Mwana FA - Alikufa kwa Ngoma

Kiufupi hii list ni ngumu kuitengeneza maana kuna wasanii kama FA ambao catalogue yao imeshiba, ngoja niangalie list zingine 😁
 
Not in particular order
Kimbia-Babuu feat Langa & Mox
Story 3-Jay Moe
Bongo DSM-Prof J
Pure Number-One Incredible
Mimi-Geez Mabovu feat Chid,FID,Jay Moe
Hawatuwezi-N2N
Alikufa kwa Ngoma-MwanaFa
Sauti ya Jogoo-Niki Mbishi
Mtazamo-Afande feat Prof & Solo Thang
Homa ya Dunia-Solo Thang
Hili Game-Juma Nature
Ufalme-Joh Makini
Nini Dhambi-Xplastaz
Dar Stand Up-Chid Benz
Bila Sanaa-Imam Abbas
Hii Leo-East Coast Team
Jirushe-Feruz feat Jay Moe
Mfalme-Mwana Fa
Mwanza Mwanza-Fid Q
Tunasonga-Kikosi feat Dogo Hashim
 

View: https://www.youtube.com/watch?v=iw65evLgQgc


View: https://www.youtube.com/watch?v=6ICsA5_1cm4



1716929850778.png
 
Ni siku moja tu nlilia ,siku baba aliponitoka.So nakuona ka kicheche wangu wazamani,siku niliporuka hewani.Ngwair mbona huonekani?
Vipi hauna TV ?Ungekuwa na faida nami ungeniona kwa 3D.Halafu anamaliza Whatsup Tanzania ! whatsup .No beef hii ya Ngwair alichana kwa uchungu sana baada ya kupigwa mambata na Cheed Benz.

Mikasi .Hii hadithi iliyosimuliwa humu kutoka kuamka -kupiga mswaki - kwenda kula supu-Mpaka siku inaisha .Ngwair nahisi alikuwa na akili nyingi sana.
 
Nilivyoanza kuagalia list mwanzoni nikadhani mtazamo haipo kumbe ipo kibongo bongo mtazamo ndio ngoma yangu bora kabisa ya hiphop muda wote.

Pale vilikutana vichwa vitatu chini ya P Funk majani back in 2004.
 
Faida pekee niliyopata humu ninkukumbushwa nyimbo zangublali zote za bongo fleva when artists were artists and producers were producers!
Am gona do a compilation!
 
1. CHEMSHA BONGO - Prof J...huu ndio ulikuwa game changer ya Bongo Flavor...
Nimetazama huu uzi wote nikasema ina maana JF imejaa mambumbumbu wa watu muziki mpaka nilipokutana na comment yako.
Chemsha bongo ndio wimbo bora wa hiphop wa wakati wote. Leta nyimbo zote zipange hapo hakuna kama chemsha bongo hii ndio baba wa bongo hip-hop. Mkuu wewe unaelewa maana ya wimbo wa muda wote.
 
mimi nguvu yakurank sina ngoma za Hiphop nikisikilizaga kisa msanii unaona ni mnoma
ila mtu unasemaje diss track nikali
 
Back
Top Bottom