hata hezbollah walipoona hamas wanapigwa, wakarusha roketi, ili israel ipotee maboya kwa kupigana na hezbollah wakati hamas wanapumua, alichofanya israel, aliendelea na hamas hadi akamalizana nao ndio akahamia hezbollah, jana iran ilipoona israel imeanza askari wa miguu (ground invasion) lebanon wamerusha ili kumpotezea ramani, israel ameendelea kupiga southern Lebanon kama kawaida, akimalizana nao atakuja kwa wahuth na atamaliza na iran. wanataka israel ipigane vita vingi kwa pamoja ili waishambulie kwa pamoja, na israel anaujua huo mtego.