Nafikiri Israel Itapotezea kulipa Kisasi kwa Iran mpaka imalizane na Hizbola kwanza. Iran itawekwa kiporo kama Hizbola wakati wanashambulia Hamas

Nafikiri Israel Itapotezea kulipa Kisasi kwa Iran mpaka imalizane na Hizbola kwanza. Iran itawekwa kiporo kama Hizbola wakati wanashambulia Hamas

hata hezbollah walipoona hamas wanapigwa, wakarusha roketi, ili israel ipotee maboya kwa kupigana na hezbollah wakati hamas wanapumua, alichofanya israel, aliendelea na hamas hadi akamalizana nao ndio akahamia hezbollah, jana iran ilipoona israel imeanza askari wa miguu (ground invasion) lebanon wamerusha ili kumpotezea ramani, israel ameendelea kupiga southern Lebanon kama kawaida, akimalizana nao atakuja kwa wahuth na atamaliza na iran. wanataka israel ipigane vita vingi kwa pamoja ili waishambulie kwa pamoja, na israel anaujua huo mtego.
Yesu anakuja nilikuambia wewe ni weupe ukabisha ona sasa 😁😁😁
 
Israel hawezi chochote zaidi ya kuisubiri US baba yake afanye nini...

Kibaya ni kwamba US wapo makini na hawafanyi vitu kwa mihemko, jamaa hawafanyi vitu kwa emotions, wanatumia akili na kupiga mahesabu ya hasara na faida.
West wakubali tu ile hegemony inakarobia mwisho .ile hali ya kuwa ww ndo mmilkk wa kila kitu umeshaapilotwa na wakati
 
Mtu anakupiga mbele ya mke wako mbele ya watoto afu nguvu unazo si uzitumie kama una nguvu kausha Acha domo kule UN kachongaa afu kutwa kuuwa watoto wamama pigana sasa na kidume chenzio Mala hoh utaona unaongea uku unaondoka atakuku kwaili angepigana sisi tunataka tuone nani m'babe nani mwenye technology kubwa y kijesh duniani maneno yamekuwa mengi ohh Iran anawekwa kwemwe mfumo ajae sasa kashajaa yupo tayali filimbi napiga mimi piiiiiiiiiiii aya jibu naww taifa teule 😆😆😆😆
 
Iran imepeleka moto Israel majibu yake itakuwa ya viwango vya juu sana,kwa sasa kwa anakusanya taarifa mataifa yale yenye makundi mengine ili atakapoingia iran hataipiga pekee yake maana kuna ngome zipo nje ya Iran ambazo ni zake.
 
ngome iliyobaki ni Yemen peke yake kwa Iran, hezbollah pale wanaachia mgambo tu wa kurusha drones. huthi nao, baada ya bandari na kituo cha mafuta kupigwa juzi, wanaishi kama waporipori, maisha yameshaanza kuwa magumu, na wale ni wala mirungi na bange kama wangekuwa na uwezo mkubwa kuliko ule walionao wangeshaifuta israel zamani sana. hapo walipo ndio kiwango cha ukubwa wa uwezo wao.
 
Wakati Israel inashambulia magaidi wa Hamas na Hizbola ilianza kushambulia Israel ili ipoteze lengo
Lakini wakaawacha tangu October 7 Hadi juzi zamu yao ilipofika

Ayatollah akae Kwa kutulia asubiri zamu yake INGAwa Nia na nguvu ya kupigwa ilikuwepo sababu ndo ilikuwa inatafutwa

Kwa Sasa sababu ya Ayatollah kupigwa imepatikana Ila zamu nayo ndo haijafika atulie tu

Angeweza kutuliza mihemko yake ingekuwa faida kwake Ila ndo kashaharibu Sasa

Ina maana kulipa Kisasi kisa Viongozi wa magaidi ameonyesha wazi kwamba yeye ndo baba wa magaidi wa Hamasi na hizbola

Binafsi Nilichojufunza usitolewe kwenye lengo malizana na moja ndo uende lingine
Wasubirie kifil Chao ,Ngoja tumalizie bao kadhaa hezibolla

Kisha zamu Yao ifuate
 
Mweupe kwenye issues za mashariki ya kati mkuu wangu😆😆
toa hoja, usitoa tuhuma peke yake. ni kitu gani unachokipinga hadi uniite mweupe, ukilinganisha na kile ulicho nacho wewe. otherwise utajulikana hauna uwezo wa uelewa. karibu.
 
toa hoja, usitoa tuhuma peke yake. ni kitu gani unachokipinga hadi uniite mweupe, ukilinganisha na kile ulicho nacho wewe. otherwise utajulikana hauna uwezo wa uelewa.
Una hisia za kidini mkuu ,jitahidi uwe kawaida kwanza halafu tujadili🤔
 
Wakati Israel inashambulia magaidi wa Hamas na Hizbola ilianza kushambulia Israel ili ipoteze lengo
Lakini wakaawacha tangu October 7 Hadi juzi zamu yao ilipofika

Ayatollah akae Kwa kutulia asubiri zamu yake INGAwa Nia na nguvu ya kupigwa ilikuwepo sababu ndo ilikuwa inatafutwa

Kwa Sasa sababu ya Ayatollah kupigwa imepatikana Ila zamu nayo ndo haijafika atulie tu

Angeweza kutuliza mihemko yake ingekuwa faida kwake Ila ndo kashaharibu Sasa

Ina maana kulipa Kisasi kisa Viongozi wa magaidi ameonyesha wazi kwamba yeye ndo baba wa magaidi wa Hamasi na hizbola

Binafsi Nilichojufunza usitolewe kwenye lengo malizana na moja ndo uende lingine
Hizi ni propaganda za zamani, Israel bila backup ya Marekani hawezi battle na USA wanauchaguzi wao huko hapa ndio wakati sasa kumpelekea moto mjini kwake na hii ndio itafanya ajifunze dhiki, taabu na hofu anazowapa wenzie na wamezoea yeye ndio anaumia zaidi sababu anajiona mkubwa na watu wanasimama nae katika battle.
Iran na Waarabu walitakiwa kuchukua hatua hii kitambo, mlitaka aue wapelestina wangapi ndio aadhibiwe mpaka UN anawaona mahanithi tu
 
Wacheni story nyingi Israel hawezi hata siku moja kugusa Iran kwa sababu silaha alizo tumia Iran jana sio katika silaha zake 5 kali.

Jifurahisheni tu huko Hezbullah pia hamuwezi, kuhusu ground force wanabeba vilema na maiti. Hezbullah sa hivi kiongozi wao mpya hana huruma kama Nasurlah ataichafua Tela Aviv.

Yemen pia hamuwachi mpaa Israel atainua mikono kakubali masharti ya Hamas
Hata Mimi ningekuwa shabiki wa magaidi ningejifariji hivi hivi
 
Hizi ni propaganda za zamani, Israel bila backup ya Marekani hawezi battle na USA wanauchaguzi wao huko hapa ndio wakati sasa kumpelekea moto mjini kwake na hii ndio itafanya ajifunze dhiki, taabu na hofu anazowapa wenzie na wamezoea yeye ndio anaumia zaidi sababu anajiona mkubwa na watu wanasimama nae katika battle.
Iran na Waarabu walitakiwa kuchukua hatua hii kitambo, mlitaka aue wapelestina wangapi ndio aadhibiwe mpaka UN anawaona mahanithi tu
Kwa hiyo Israel ikivamiwa na magaidi itulie kimya sio ?
Kama ile October 7
 
Uwongo umekuwa mwingi Israel anasababu ya kusubilia sababu sidhan kama anataka kaangusha utawala w Iran adi asubili yeye kazabwa vibao nayeye akamzabe vibao sisi tushangilie waishimiane kinyume itakuwa Israel mnyonge kwa Iran mana huu mwaka hii mala ya pili Iran anamzaba vibao Israel anasubili nn Netanyahu tumemsikia juzi pale UN akitamba kuwa nguvu anayo sababu anayo na nia anayo y kumtwanga muIran tuambie vyiuma vishatoka kwenda Iran au ndio mapichapicha tusubili yanatengezwa. 🤪🤪🤪
Mkuu kwa Sasa ni vema akamaliza lengo moja la kuifuta hezbola kwanza

Avumilie tu vibao vya Iran kwa Muda havina Sana madhara 😀😀😀
 
Wakati Israel inashambulia magaidi wa Hamas na Hizbola ilianza kushambulia Israel ili ipoteze lengo
Lakini wakaawacha tangu October 7 Hadi juzi zamu yao ilipofika

Ayatollah akae Kwa kutulia asubiri zamu yake INGAwa Nia na nguvu ya kupigwa ilikuwepo sababu ndo ilikuwa inatafutwa

Kwa Sasa sababu ya Ayatollah kupigwa imepatikana Ila zamu nayo ndo haijafika atulie tu

Angeweza kutuliza mihemko yake ingekuwa faida kwake Ila ndo kashaharibu Sasa

Ina maana kulipa Kisasi kisa Viongozi wa magaidi ameonyesha wazi kwamba yeye ndo baba wa magaidi wa Hamasi na hizbola

Binafsi Nilichojufunza usitolewe kwenye lengo malizana na moja ndo uende lingine
Siku ya kwanza wanajeshi zaidi ya 14 wa Kizayuni wameliwa vichwa na Hezbollah tena hapo walivuka mpaka kwa mita 400 pekee na wamerudi nyuma kujitafakari.

Halafu uzungumzie mbabe wa Mashariki ya Kati Iran? Kulipiza kisasi tu wanakaa vikao kibao hawafikii mwafaka bwana wao Marekani anawasanua wasijaribu kukurupuka watafutika kweli kwenye ramani ya ulimwengu.
 
Ukishatangaza vita na Myahudi basi elewa wayahudi wapo US, Canada, UK, Nchi zote za Ulaya hasa Ujerumani ma wana maamizi, werevu na matajiri wakubwa.

Tambua kupokea kichapo cha mbwa koko toka kwa washrika hawa na vikwazo vya kiuchumi juu yako.
Stay turned kitakachofuata baada ya mmoja wa wanted ( Iran) kujaa kwenye mfumo juzi
Naona ni vizuri wampe Iran Muda mkuu wamalizane na Hizbolah kwanza
Maana ground war sio mchezo
 
Back
Top Bottom