Nafikiri Israel Itapotezea kulipa Kisasi kwa Iran mpaka imalizane na Hizbola kwanza. Iran itawekwa kiporo kama Hizbola wakati wanashambulia Hamas

Nafikiri Israel Itapotezea kulipa Kisasi kwa Iran mpaka imalizane na Hizbola kwanza. Iran itawekwa kiporo kama Hizbola wakati wanashambulia Hamas

Israel hawezi chochote zaidi ya kuisubiri US baba yake afanye nini...

Kibaya ni kwamba US wapo makini na hawafanyi vitu kwa mihemko, jamaa hawafanyi vitu kwa emotions, wanatumia akili na kupiga mahesabu ya hasara na faida.
Mbali na hivyo labda tumuulize mleta mada; kwa Yemen walisubiri mpaka wamalizane na Hizbullah kwanza?

Kwa sababu juzi kalipua huko Yemen..
 
Missiles zimetoka Iran, Halafu yeye (Israel)anaenda Lebanon.... ,[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38],,, Hii inaonyesha wazi kuwa Israel anaogopa kupiga direct kule Tehran
Vita ni mahesabu Iran atawekwa kiporo amalizane na hizbola kwanza
 
Iran ana dharau sana aise. Yaani juzi Netanyahu anaichimba mkwara bubu Iran halafu kabla mate hayajakauka jana akashushiwa mvua ya makombora sebuleni kabisa na amepiga kimya so far.

Ingekuwa ni Syria ndio ameishambulia Israel mbona ndani ya masaa mawili tu kingelipwa kisasi lakini kwakuwa ni giant la Middle East limemuadabisha hama option zaidi ya kupata muda wa kuwauliza mabwana zake USA na Ulaya kama kuna uwezekano wa kujibu ama lah.
 
Israel wanaakili kuliko wewe,Iran ni nchi tena kubwa sana.
Sasa wewe umeshiba zako ugali mbilimbi unabehuka TU.
Vita hata ukipigana na mtu hana hasta gobole limradi binadamu utahenya tu.
Huyo bwana wenu Marekani tu hapo Iraq na Afghanistan alihenya mpaka sasa anaingia kwenye migogoro kwa kuvizia vizia.
Ndo vizuri amalize magaidi wa Iran mahzibola
Ila apate muda wa kutosha kumshughulikia Iran
 
Mtu anakupiga mbele ya mke wako mbele ya watoto afu nguvu unazo si uzitumie kama una nguvu kausha Acha domo kule UN kachongaa afu kutwa kuuwa watoto wamama pigana sasa na kidume chenzio Mala hoh utaona unaongea uku unaondoka atakuku kwaili angepigana sisi tunataka tuone nani m'babe nani mwenye technology kubwa y kijesh duniani maneno yamekuwa mengi ohh Iran anawekwa kwemwe mfumo ajae sasa kashajaa yupo tayali filimbi napiga mimi piiiiiiiiiiii aya jibu naww taifa teule 😆😆😆😆
Hiki ni kiswahili au kiarabu mkuu duh !!!
 
Wakati Israel inashambulia magaidi wa Hamas na Hizbola ilianza kushambulia Israel ili ipoteze lengo
Lakini wakaawacha tangu October 7 Hadi juzi zamu yao ilipofika

Ayatollah akae Kwa kutulia asubiri zamu yake INGAwa Nia na nguvu ya kupigwa ilikuwepo sababu ndo ilikuwa inatafutwa

Kwa Sasa sababu ya Ayatollah kupigwa imepatikana Ila zamu nayo ndo haijafika atulie tu

Angeweza kutuliza mihemko yake ingekuwa faida kwake Ila ndo kashaharibu Sasa

Ina maana kulipa Kisasi kisa Viongozi wa magaidi ameonyesha wazi kwamba yeye ndo baba wa magaidi wa Hamasi na hizbola

Binafsi Nilichojufunza usitolewe kwenye lengo malizana na moja ndo uende lingine
Mkuu, Adui hakosi sababu,
kinachoifanya Israel isitesite kumshambulia adui yake ni hofu inayosababishwa na nguvu,uwezo na ujasiri alionao adui husika.
 
Siku ya kwanza wanajeshi zaidi ya 14 wa Kizayuni wameliwa vichwa na Hezbollah tena hapo walivuka mpaka kwa mita 400 pekee na wamerudi nyuma kujitafakari.

Halafu uzungumzie mbabe wa Mashariki ya Kati Iran? Kulipiza kisasi tu wanakaa vikao kibao hawafikii mwafaka bwana wao Marekani anawasanua wasijaribu kukurupuka watafutika kweli kwenye ramani ya ulimwengu.
Vita ya Ground ni ngumu mkuu
Na ni kawaida
Kule ni vitani sio harusini
Askari kufa ni kawaida
Ila MWISHO ndo unaamua na mshindi
 
Mbali na hivyo labda tumuulize mleta mada; kwa Yemen walisubiri mpaka wamalizane na Hizbullah kwanza?

Kwa sababu juzi kalipua huko Yemen..
Yemen pia anatulizwa tu mkuu
Wasimtoe kwenye lengo
Siku Israel akiamua kushambulia Houth anaweza kudondosha makombora ya kutosha
 
Iran ana dharau sana aise. Yaani juzi Netanyahu anaichimba mkwara bubu Iran halafu kabla mate hayajakauka jana akashushiwa mvua ya makombora sebuleni kabisa na amepiga kimya so far.

Ingekuwa ni Syria ndio ameishambulia Israel mbona ndani ya masaa mawili tu kingelipwa kisasi lakini kwakuwa ni giant la Middle East limemuadabisha hama option zaidi ya kupata muda wa kuwauliza mabwana zake USA na Ulaya kama kuna uwezekano wa kujibu ama lah.
Madhara yake vipi
 
Mkuu, Adui hakosi sababu,
kinachoifanya Israel isitesite kumshambulia adui yake ni hofu inayosababishwa na nguvu,uwezo na ujasiri alionao adui husika.
Ni kweli Iran ana nguvu Sana Ila ikifika zamu yake atapigwa tu
 
Ukishatangaza vita na Myahudi basi elewa wayahudi wapo US, Canada, UK, Nchi zote za Ulaya hasa Ujerumani ma wana maamizi, werevu na matajiri wakubwa.

Tambua kupokea kichapo cha mbwa koko toka kwa washrika hawa na vikwazo vya kiuchumi juu yako.
Stay turned kitakachofuata baada ya mmoja wa wanted ( Iran) kujaa kwenye mfumo juzi
Huo ni woga wenu waafrika, ngozi nyeupe hawana hizo ukizingua watu wanalianzisha tu mkuu, kwaiyo ulitaka Iran akae kimya kila siku watu wake wanauwawa!?
 
Back
Top Bottom