Hammaz
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 6,607
- 14,076
Mbali na hivyo labda tumuulize mleta mada; kwa Yemen walisubiri mpaka wamalizane na Hizbullah kwanza?Israel hawezi chochote zaidi ya kuisubiri US baba yake afanye nini...
Kibaya ni kwamba US wapo makini na hawafanyi vitu kwa mihemko, jamaa hawafanyi vitu kwa emotions, wanatumia akili na kupiga mahesabu ya hasara na faida.
Kwa sababu juzi kalipua huko Yemen..