Nafikiri kijana anayejenga katika usawa huu anatakiwa apewe heshima yake

Ahsante, kujenga habari nyingine..!!
Nikiangalia nyumba yangu, nashindwa kufanya maamuzi ya kuolewa. Najua mjuba akinizingua jioni akirudi hanikuti, ntakuwa nisharudi home sweet home 🀣🀣
Ndjo maana hatutakiwi kuoa mwanamke anayeishi nje ya wazazi wake ajili ya hii. Mnaona sasa
 
Ujenzi sio mgumu, sema bado hauna hela endelea kutafuta acha kelele..alafu acha uongo nyumba ya mil50 ni nyumba kabisa sio vyumba viwili acha kukatisha tamaa wenye nia ya kujenga.
 
Apeleke upuuzi wake fb
 
Ahsante, kujenga habari nyingine..!!
Nikiangalia nyumba yangu, nashindwa kufanya maamuzi ya kuolewa. Najua mjuba akinizingua jioni akirudi hanikuti, ntakuwa nisharudi home sweet home 🀣🀣
Kumbe Shangazi wewe bado haujapigwa Pingu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…