Nafikiria kufanya maamuzi haya magumu japo naumia sana

Pole mkuu. Naamini mwanamke anayekupenda kwa dhati hawezi kukufanyia vitimbi. Mungu ametupa akili za kung'amua mambo. Hana mapenzi ya dhati na wewe huyo. Wakati wa uchumba nadhani ukuweza kumjua rangi yake halisi.
Hapa kila mtu na hamsini zake
 
Bila shaka wewe ni good guy. Ni wa wanaume ambao hutabirika maamuzi yao( mara nyingi huwa ni kusamehe fasta).

Pole sana ila usitegemee mkeo kubadilika, kwa nionavyo mimi huyo atabadilika yeye akiwa na shida ila kama shida iko upande wako sahau kuhusu kubadilika kwake mkuu.

Yakiwashinda mtengane ndgu yangu, uhai ni kitu muhimu sana.
 
Aisee mm huwa nahisi ni upendo tu hivi kumbe naweza kuwa niko hivyo?
 
Mke anampeleka Polisi, kwa mjumbe[emoji23]
..Huyo ni mke ama nini!?

Yani mke akifikia hatua ya kukupeleka polisi, hamna mke hapo.

Mtoa mada lazima atafakari.
 
Piga chini chomoka hapo hakuna mapenzi hapo mtakuja kuuwana ndani bora lawama za muda mfupi kuliko fedha ya muda mrefu
Dah! Umenikumbusha mwaka jana ndugu yangu aliugua korona! Tulivyofika hospitali kumuona mke wake bila hata hofu aliropoka “ yaani nimemuomba mungu amchukue kuliko anavyoteseka”
Tulistaajabu
 
Dah! Umenikumbusha mwaka jana ndugu yangu aliugua korona! Tulivyofika hospitali kumuona mke wake bila hata hofu aliropoka “ yaani nimemuomba mungu amchukue kuliko anavyoteseka”
Tulistaajabu
Duuh
 
Wanawake wanapenda mwanaume akiwa hivi..ila mwanaume unaleta ulokole na kucheka cheka..atakupanda kichwani na kukona boya.

Nadhani atakua kakuelewa.

#MaendeleoHayanaChama
 
Una mambo ya Ujinga sana.

Unajiuliza , kwann yeye Hataki muachane??

Kwanza huyo ni mke, au Mlivutana tu mkatiana mimba, imeisha.

Yaan unaweza umtoroke ??? Mke wako na mtoto???

Kwa sababu anakudharau?
 
Una mambo ya Ujinga sana.

Unajiuliza , kwann yeye Hataki muachane??

Kwanza huyo ni mke, au Mlivutana tu mkatiana mimba, imeisha.

Yaan unaweza umtoroke ??? Mke wako na mtoto???

Kwa sababu anakudharau?
Kwa hiyo ukawaza kwamba hiyo ndiyo point ya maana kunitukana. Shauri basi.
 
Una mambo ya Ujinga sana.

Unajiuliza , kwann yeye Hataki muachane??

Kwanza huyo ni mke, au Mlivutana tu mkatiana mimba, imeisha.

Yaan unaweza umtoroke ??? Mke wako na mtoto???

Kwa sababu anakudharau?
Mpe mbinu moja ya kivita nini afanye ,mi naona amechanganyikiwa huyu jamaa,mwanaume unasusa mji wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…