Mkulungwa01
JF-Expert Member
- Jul 14, 2021
- 3,977
- 5,339
Yes Sir!USIMUONEE HURUMA MWANAMKE.... Mwanamke mchukulie kama kijakazi tu kwako and YOU ARE THE KING!!
Mfalme akikosea hamuombi msamaha kijakazi.
Kijakazi akizingua anapewa onyo, akirudia makosa yake anatafutiwa mbadala wake instantly.
Hayo ndio maisha ya Alpha Males
DuuuhPole mkuu...japo nauona utoto kwako...unajiita handsome..hata kama.
Ushauri wangu ni mdogo tu.
1. Lipa kodi ndipo uondoke, ukiwatoroka hutofanikiwa kamwe uendapo.
2. Usiondoke kwa kashfa na kejeli.
Mwite mkeo na mwanao na uwaambie;
-mke wangu ninakupenda sana sana japo
ninasikitika kuwa hali yangu ngumu imeondoa furaha yetu.
-kwa hali hii inanibidi nikajaribu maisha kwingine, naomba umlee mtoto kwa upendo wote, nikifanikiwa huko nitawakumbuka mke wangu.
Mkuu hata kama umekusudia kumwacha kwa siri lakini kwa maneno haya atakuwa anakutakia heri na ufanikiwe skijua ukifanikiwa amefanikiwa...usiondoke mke akilia hutofanikiwa uendako.
Usitumie maneno makali kwa mwanamke...bora unyamaze.
Hawa viumbe wakilia wananyonya baraka zetu
Aliekwambia Nani mkuu kua mwanamke akilia anakupunguzia baraka???Pole mkuu...japo nauona utoto kwako...unajiita handsome..hata kama.
Ushauri wangu ni mdogo tu.
1. Lipa kodi ndipo uondoke, ukiwatoroka hutofanikiwa kamwe uendapo.
2. Usiondoke kwa kashfa na kejeli.
Mwite mkeo na mwanao na uwaambie;
-mke wangu ninakupenda sana sana japo
ninasikitika kuwa hali yangu ngumu imeondoa furaha yetu.
-kwa hali hii inanibidi nikajaribu maisha kwingine, naomba umlee mtoto kwa upendo wote, nikifanikiwa huko nitawakumbuka mke wangu.
Mkuu hata kama umekusudia kumwacha kwa siri lakini kwa maneno haya atakuwa anakutakia heri na ufanikiwe skijua ukifanikiwa amefanikiwa...usiondoke mke akilia hutofanikiwa uendako.
Usitumie maneno makali kwa mwanamke...bora unyamaze.
Hawa viumbe wakilia wananyonya baraka zetu
Sasa kama anapata vipesa si umwache, ngoja siku moja utachomwa moto, mke anampeleka vipi Mme police!Dahh sawa nimekusoma lakini ujue hadi sasa ana RB kwamba nilienda kumfanyia fujo ofisini kwake wakati nilienda kuchukua pesa zangu nilizompa week kabla. Sasa kuepuka kesi za hivyo si boda nimsikilizie tu.
Huu sio ushauri mzuriUkiondoka tu kuna njemba itamfadhili na kula mzigo,usiondoke ila kuwa mkatili piga màkofi ya maana mpaka masikio yazibe,akikunyima penzi piga chukua mkanda wa suruali chapa sukumia nje funga mlango alale nje,usilete ulokole kwenye mapenzi,nasema usiondoke bali kuwa mkatili hadi akikuona moyo unaenda mbio kwa woga,tembeza kichapo,
Ahsante chiefChukua vitu vyako ondoka kimya kimya. ...
Tena ukifika huko mpigie mwenye nyumba amtimue ..!
Si haoni umuhim wako piga chini ..! Huwezi kua na stress za hela afu ukifika ndani unakutana na stress za Mwanamke utakufa chap chap Yani mbio mbio tunazika.
Linda Sana Moyo wako binadam mwezako asikunyime Amani hata siku moja Pambania maisha yako huyo mtoto ikifika mda muafaka mchukue.
Ushauri wako una roho ya kijerumani mzee .Ukiondoka tu kuna njemba itamfadhili na kula mzigo,usiondoke ila kuwa mkatili piga màkofi ya maana mpaka masikio yazibe,akikunyima penzi piga chukua mkanda wa suruali chapa sukumia nje funga mlango alale nje,usilete ulokole kwenye mapenzi,nasema usiondoke bali kuwa mkatili hadi akikuona moyo unaenda mbio kwa woga,tembeza kichapo,
Makubwa haya anayeteseka nani sasa hapo! Hata kama tunagombana lakini kuombeana kifo hapana !Dah! Umenikumbusha mwaka jana ndugu yangu aliugua korona! Tulivyofika hospitali kumuona mke wake bila hata hofu aliropoka “ yaani nimemuomba mungu amchukue kuliko anavyoteseka”
Tulistaajabu
Duh hawa viumbe ni kukaa nao kwa akili sio kwa hisiaDah! Umenikumbusha mwaka jana ndugu yangu aliugua korona! Tulivyofika hospitali kumuona mke wake bila hata hofu aliropoka “ yaani nimemuomba mungu amchukue kuliko anavyoteseka”
Tulistaajabu
Hili nalo neno, kuna wanaume wakiwa na pesa wake zao huwafanya kama watu wakawaida, siku naye akiyumba ndiyo anajirudisha kwa mke hapo ndipo majibu yahesabu ya MAGAZIJUTO hujulikanashida mkiwaga kazini mke anaonekana mbogo. ngoja uwe houseboy siku hiyo wife atapewa majina yote mazuri .
Stress ni sawa ila huo wivu akili zako zimekudanganya. Acha kukurupuka mkuu.Mpaka hapo nimegundua una stress za maisha,ukaweka hapo na wivu wa biashara kwa mkeo.
Utafiti unaendelea
Sent using Jamii Forums mobile app