Nafikiria kufanya maamuzi haya magumu japo naumia sana

[mention]Hendisamu [/mention] kaka kama vipi pita na hi!
 
Hili nalo neno, kuna wanaume wakiwa na pesa wake zao huwafanya kama watu wakawaida, siku naye akiyumba ndiyo anajirudisha kwa mke hapo ndipo majibu yahesabu ya MAGAZIJUTO hujulikana

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeishi nae kwa kumjali kila jema sema nahisi hizi kabila za kaskazini ni shida hasa ukiweka na nature walio nayo.
 
Nimeishi nae kwa kumjali kila jema sema nahisi hizi kabila za kaskazini ni shida hasa ukiweka na nature walio nayo.
Pole sana, ndiyo hivyo yawezekana alifuata kazi na pesa zako, kama vipi tafuta chumba ambacho unauwezo nacho kama atakubali hapo sawa kama bado ondoka kaanze upya wanawake wazuri wapo na wanaume wazuri wapo, kaanze upya, huyo mwenye 28yrs akili yake haina akili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu usimlazimishe uamuzi wakuondoka upo sawa ila iwe kweli anakufanyia hivyo , nenda kapambane kwa moyo mmoja Mungu lazima atakupa tu na end of the day atakuja kukupigia magoti.
 
Ila sisi wanaume tutafika mbinguni tumechoka sana hawa viumbe hawana huruma na sisi ...Ee....Mungu naomba moyo wa uvumilivu na hekima ya kuishi na hawa watu....maana unaweza kuta mnafanyiana umafia wa hali ya juu.
Usisahau kuomba na ukatili pia, ni muhimu na lazima uwe nao.

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Hili nalo neno, kuna wanaume wakiwa na pesa wake zao huwafanya kama watu wakawaida, siku naye akiyumba ndiyo anajirudisha kwa mke hapo ndipo majibu yahesabu ya MAGAZIJUTO hujulikana

Sent using Jamii Forums mobile app
alafu unakuta mke kabembeleza adi kawa sugu kashazoea kupotezewa ko ata anavomfanyia mtoa mada ye anajua ndo maisha yenyewe halisi
 
alafu unakuta mke kabembeleza adi kawa sugu kashazoea kupotezewa ko ata anavomfanyia mtoa mada ye anajua ndo maisha yenyewe halisi
Mawazo huru ,kwani nashindwa kuchana ukweli kama ninezingua ??? Haujui tulia mkuu.
 
Dah mi mke wangu hana ruhusa ya kunizuia kuchukua chochote hata kama ni mali yake, akinishtaki tunapishana mlangoni. And kuna wadada milioni mia wanatafta ndoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…