Nafikiria kufanya maamuzi haya magumu japo naumia sana

Mwanaume aliyekamilika hawezi kutoa siri ya aendako kabla hajafika...Believe me ,She will ruin all his plans.Ikishachukua maamuzi unatakiwa umshirikishe Mungu tu akuongoze huko uendako na YEYE ndie anaeijua nia na dhamira yako kuwa hujaitelekeza familia bali umeenda kutafuta maisha katika njia zake ili uje uitunze familia. Kumbuka mwanzo alishasema kuwa mwanamke hataki kumruhusu ahame sembuse amwambie anasepa kwenda kutafuta maisha?
 
Aiseeeh ndoa yaaan wanawake kwakweli sina cha kusema zaidi ya pole maana na Mimi sijui ntaponaje maana nipo kwenye kutengana aka kuachana na mwanamke niliyefunga nae ndoa na kuazaa nae watoto
 
Aiseeeh ndoa yaaan wanawake kwakweli sina cha kusema zaidi ya pole maana na Mimi sijui ntaponaje maana nipo kwenye kutengana aka kuachana na mwanamke niliyefunga nae ndoa na kuazaa nae watoto
Pole mkuu
 
Mtu ninayelala nae anipeleke polisi kisa tu nimetaka hela yangu au viugomvi kidogo??!!...aloooo!!!

Hii huruma kwa watoto itatuua wanaume..tafuta hela fanya namna ya kumsaidia mtoto..mama mtu akileta ujuaji mwachie huyo mtoto,tuone atafanyaje nae...Wewe ukiwa sehemu ambayo hajui ni wapi.

Kama hataki tu mtengane na vitimbwi vyote hivyo ina maana anajua una umuhimu kwake.
 
Huyu ni pressure ya maisha na ushauri wa ndugu zake ni unamsumbua mkuu lakini sio kwamba hanitaki ananitaka sana leo na kesho na mm nataka niwe mbali aonje joto la kunimiss anaweza kujigunza.
 
Hahaha sijaalog in muda mrefu ila comment yako umenifanya niingie.kiufupi unachosema ndio ilivyo. Sisi wanawake tunapenda kaukatili kiasi.hahaha.sio nikikutisha unaogopa.sio akapige kama mbwa mwizi achanganye na za mbayuwayu.ndo mana wanaume hardcore (sio wakorifi )ni hardly kukuta ndoa zao zinavunjika ukilinganisha na hawa wa telemundo
 
Hasa unasubiri nn kuondoka?
Halafu ashindwe kulipa Kodi king vipi wakati ana hiyo biashara hapo?
Acha ujinga ww
 
Yes huwezo hana maana mzunguko wa biashara yake nao unalegalega na matumizi ya hovyo hovyo na pia anatakiwa pia alipe pango la frame
Matumizi ya hovyohovyo wakati anaona hali imebadirika na we huna kazi?
Mungu akusaidie
 
Kesi za mahusiano polisi hawazipi uzito,hata hao polisi wanatandika wake zao,sanasana mtapelekwa dawati la jinsia,usiogope kulala ndani siku moja,we leo mpe makofi utaniambia kesho atakuwa na adabu
[emoji23][emoji23]
 
Imagine ni mwezi 1 tangu apoteze kazi?
This s too much aisee
 
Mkuu baadhi ya wanawake wanaharibu radha ya ndoa. Kiukweli nikiachana nae huyu siowi tena.
Aah wewe huyo ndo ulichemka ,unaweza kuta ulilazimisha tu hakuwa wako,au alikupendea pesa unategemea nn? Ujifungie milango ya kukutana na wanawake wa maana kisa huyo mmoja?
Unaweza ukakutana na mwanamke mpk ukajuta ulichelewa wapi!
 
Sawa mkuu kama halidhiki na hali hii sass hata niiendelea kukaa nae bado nitaishi kwa stress hata kazi zinaingia mikosi mkuu. Nilifikiria kuwa mbali nae kwa muda pengine ataona umuhimu wangu.
Huyo mwanamke hakufai mkuu,Kuna mwaka nilipitia Kama yako,nilikonda balaa, nikampiga chini yule shetani,maisha yakaenda vizuri tu, na mtoto now namsomesha shule ya boarding, afya imeimarika Kama yote ,

Piga chini huyo Ni shetani,
 
Ndiyo tunajulikana mkuu nimeandika kwenye uzi na kisheria serikalini tayari ni mke sema ndo hivo.
We hutujui wanawake ,ukimuaga katafute pesa,unaweza shangaa akapata mwanaume mwingine na akaolewa vzr ndoa ya kanisani au msikitini na akaishi vzr huko.
Halafu we unabaki eti sioi tena kisa mtu mmoja shauri yako!
Haya mambo kuna wakati huwa tunalazimisha tu watu unakuta hamuendani
 
Mwenyezi Mungu anisaidie maana sina moyo wa huruma na mwanamke katri kiasi hiki. Nina maamuzi ya serikali na kichwa changu ambayo siwezi kuingiliwa na mtu. Ningekuwa nishamwacha siku nyingi.

Halafu wanawake wenye roho ya kaskazini mlimani kule hawafai sana mkuu.
 
Aisee nawashukuru sana kwa ushauri wenu linalonigusa sana ni hili la kutofautiana kidogo tu mtu anaenda kushtaki. Wakuu ninewaelewa huyu siwezi ishi nae kama ni uvumilivu umenishinda naweza kuja kuuwa mtu bure.
Kama hajakuua wewe!
Manaake sikuhizi mambo yamebadirika!
Ya nn hayo yote.uhai wako ni mhimu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…