Wilderness Voice
JF-Expert Member
- May 19, 2016
- 921
- 1,649
- Thread starter
-
- #41
Wanasheria wananielewa....Kwahiyo wewe ndiyo msemaji wa serikali kukanusha hizo habari?
Je huoni kwa bandiko lako hili tayari unaishushia serikali heshima mbele ya wananchi na unapashwa kushitakiwa?
Ebu weka nambari yako ya simu nitakupendekeza upate angalau kauteuzini haki yangu si njaa
Wanakuelewa sana ndiyo maana nakwambia kuwa unaweza kushitakiwaWanasheria wananielewa....
Simjui.Habib Machange si unamfahamu? Wachukue Polisi muende pale ofisini kwake kwani ndiye Mhusika Mkuu. Tena ikiwezekana uende na kile kihazeti chake kama ushahidi.
Pole hujui nikisemachoWanakuelewa sana ndiyo maana nakwambia kuwa unaweza kushitakiwa
Haki yangu haiingiliwiUkisikia kuchanganyikiwa ndio huku
Wewe unasambaza taarifa hizo kijanja sana. Dola ianze na wewe.
Nilikuwa sijui yanayoendelea kule 'twira', ngoja niend
Mie nadai haki yanguWewe unasambaza taarifa hizo kijanja sana. Dola ianze na wewe.
Nilikuwa sijui yanayoendelea kule 'twira', ngoja niende mbio
Haki ipi?Mie nadai haki yangu
Siujui ndo maana naweka wakili.Hata mlango wa mahakama unaujua?
Nilipata habari BBC wakisema kwa mujibu wa T. LissuKwani rais anaumwa mkuu?
Usikimbilie kujibu soma tena mstari kwa mstari ili kubaini mleta hoja anasema nini! Hamaanishi ulichokimbilia!Hauna kazi ya kufanya?
Mahakama itasemaHaki ipi?
Sina haja ya teuzi.Weka namba ya simu ili iwe rahisi kupata teuzi.
MmmhUsikimbilie kujibu Soma Tena mstari kwa mstari ili kubaini mleta hoja anasema Nini! Hamaanishi ulichokimbilia!
Upo? Za masiku?Pole sana, kwa sasa unaendeleaje hali yako?