Nafikiria kumpiga chini huyu Mwanamke, hajui kuishi kwa bajeti

Chakufanya kama huwa unanunua nyingi labda nyama ya week nzima uwe unaigawa kabisa, unaiweka katika vifuko vya nusu nusu kilo kwa watu wawili inatosha sana.
 
Unachelewa sana, fukuza chapuuu
 

kitu kidogo kama hicho ndio ufikirie kumuacha mke. naomba kujua umri wako kwanza.
 
Joanah, umeshaolewa? Mbona busara imekujaa hivyo!
 
uongo,nature ipi inasema wanawake mmeumbwa kupokea!!!noooh
Si imeandikwa mtakula kwa jasho? now hata mgeni akija mchana itabidi tuombe ruhusa ya kuongeza budget ili kuepuka kufunguliwa thread ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚
 
Mkabidhi hela ya wiki,yeye aamue anataka kupika nin,Ila kilo moja ya nyama siku moja sio sawa huo sio ulaji bhana
 
Mkabidhi hela ya wiki,yeye aamue anataka kupika nin,Ila kilo moja ya nyama siku moja sio sawa huo sio ulaji bhana
Watu mnataka kuoa malaika wakati wenyewe hamfai hata kua parish worker.
Kwao walizoea hivyo, taratibu atajirekebisha. Haya Mambo humalizwa kwa maongezi tu, sio lazima uanike tabia ya mpendwa wako. Kama ulimpendea tako, unadhani tako linakuja hivi hivi? After all kilo ya nyama Ni sh ngapi? Kwani mnakula nyama kila siku?
Mpe mkeo hela ya wiki na utagundua anajua kutunza pesa kuliko wewe.
 

Roho ya kimaskini hiyo ikatae, kama mnakula wenyewe mnamaliza shida iko wqpi? Au anatuma robo kwao Tandahimba kila siku?
 

Tafuta hela lakin pia mfundishe kuhusu kubana matumiz, umekutana na spender hataki shida
 
Si imeandikwa mtakula kwa jasho? now hata mgeni akija mchana itabidi tuombe ruhusa ya kuongeza budget ili kuepuka kufunguliwa thread ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚
Imeandikwa wappp๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ kama bible bas siamin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ