Frank I Ritte
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 1,003
- 1,350
Kwa nini ununue kilo badala ya robo.Tupo town hapa lakini cha ajabu anaishi kama tupo Itilima, hajui kabisa kuishi kwa bajeti na wala haelekezeki.
Tupo wawili tu mimi na yeye lakini cha ajabu ile kilo ya nyama ya ng'ombe inaisha kwa kutwa moja!
Wakuu hii ni kawaida kweli? Tayari nimefikiria kuchukua maamuzi magumu
Ushauri wenu tafadhali.