Nafsi yangu inagoma kusafiri na treni ya SGR, napata hisia sio salama na ni suala la muda yatatokea ya kutokea

Wapo wengi kwanza CCM waondoke, halafu tupate katiba mpya. Nafasi zote Serikalini ziombwe na wenyesifa wapewe, tuache hii mambo ya kuteuwana kwa upendeleo wa uchama/uchawa, jinsia,ukabila, utaifa,ukada,udini na ukanda.

wajitokeze sasa. wakijificha tunahesabu "hawapo"
 
Wewe umetumwa na wamiliki wa mabasi. Ni muhujumu uchumi wewe. Nashauri utafutwe na kushughulikiwa. Train ya mwendo kasi ni salama. Serikali ipo pale na inafuatilia kila kitu kwa ukaribu.
 
Wewe umetumwa na wamiliki wa mabasi. Ni muhujumu uchumi wewe. Nashauri utafutwe nr kushughulikiwa. Train ya mwendo kasi ni salama. Serikali ipo pale na inafuatilia kila kitu kwa ukaribu.
Na Kadogosa katumwa na nani?
 
Nafsi yako ikikataa sgr, bodaboda, bajaji, daladala au you tong inakuita. Ikifika huwezi kwepa gentleman 🐒
 
Huyo ni israel anakuwinda mkuu jiweke tayari
Na hakika siku utakayopanda wewe tu sgr itaweka historia hivyo kuepusha na roho za wengine wewe usipande
 
✊✊
 
Angekuwepo kuna watu wangesahaulika
 
wajitokeze sasa. wakijificha tunahesabu "hawapo"
Hawawezi kujitokeza kwa mfumo uliopo, hawatapata nafasi, kwasababu nafasi ni kwa UWT, UVCC na Mlengo huo, siyo qualification.
Kujitokeza kwao ni kazi bure kwa sasa.
 
Nafsi yako ikikataa sgr, bodaboda, bajaji, daladala au you tong inakuita. Ikifika huwezi kwepa gentleman 🐒
Hakuna mtu asiyejua hilo , hapa linazungumziwa treni linalobeba watu 900+ athari zake ni kubwa kuliko bajaji au boda boda,
Kwan zimezama boti ngapi ziwa victoria, lakini mv bukoba hadi leo inakumbukwa miaka zaidi ya 20
 
Mimi nimepanda na wala sikuwa na mawazo kama hayo. Nili enjoy tu mwanzo mwisho.
 
Hakuna mtu asiyejua hilo , hapa linazungumziwa treni linalobeba watu 900+ athari zake ni kubwa kuliko bajaji au boda boda,
Kwan zimezama boti ngapi ziwa victoria, lakini mv bukoba hadi leo i akumbukwa miaka zaidi ya 20
kama ni hivyo unababaika nini sasa hali yakua vyote vyaweza kupata hitilafu na vinaongozwa na binadamu?
 
kama ni hivyo unababaika nini sasa hali yakua vyote vyaweza kupata hitilafu na vinaongozwa na binadamu?
Kuna uzembe kwenye kuna ajali kama ajali, zimetokea ajali ngapi za ndege? Kwa nini 737 max zote zilikuwa grounded kwa sababu ya ajali mbili tu?
 
Nafsi yenyewe unayo? Mimi naona umejaa mapepo tu
 
Kuna siku badala ya kuzimu itafeli break na kupitiliza kisha tutaunda time ya mchongo
 
Sisi ndio tuna operate hiyo treni,ila wenyewe bado wapo wakiendelea kusimamia uendeshwaji mpk watakapojiridhisha kuwa tumekuwa wazoefu wa kutosha....
 
Kwanini mnatanguliza uchawi mbele au mnadhani wote tunatokea sumbawanga na kigoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…