NAFUMUA MSHONO: Simu za iPhone ni mdebwedo, wanaozitumia ni watu wa kufuata mkumbo bila reasoning. Simu za Android ndio mpango mzima!

Mshkaji wangu ana iphone 6s

Nadiriki kusema sijashuhudia simu inayoisha chaji kama hii ya jamaa.
Simu ni toleo la miaka 6 tunaelekea saba iliopita ikiwa na battery la 1715 mAh, ukichanganya na kuwa hata Apple hazizalishi tena huenda mshikaji kadaka refurbished au used hapa hapa battery life ishadrop unategemea itakaa na charge?
 
Natumia Iphone 7 plus, ila huu ni ukweli mchungu.
Kwanini sasa umeinunua kama haikidhi mahutaji yako?
Yani ni sawa ununue Lambourghini halafu uanze lalamika mbona ukiipotisha kwenye bumps inajigonga chini.
Kama wataka customization, kudownload nyimbo any how chukua android maana ndo selling point yake.
iOS na Android zikifanana kiutendaji basi itakuwa haina maana.
Last month nilianza jifunza kudesing UI nikaanza soma utofauti wa UI ya android na iOS, approach zao ni tofauti kabisa hata katika UI.
 
Elimu nzuri sana πŸ“Œ
 
Mtu mwenye anaongelea simu za 2001 tafuta hela man
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ana utoto mwingi sana
 
Navutaje picha kwenye kitu kisicho na ukweli.

Gb 200 kwenye iCloud utakua unatunza nini?

Unaaaminisha gb 200 sawa na shilingi laki 2?

Je infinix au tecno zinaweza tunza file la gb 200. Akipoteza simu ana iback up vipi?
 
Ana utoto mwingi na nani alimwambia kuwa ukiwa na iphone huwez ifadhi vitu Google drive au kwingine?
Na pia hata Android Google drive wanakuoa just 15gbs bure
 
--Gb 200 kwa watu wanao record sana video sio kitu.
--Gb 1 sikuhizi ni zaidi ya buku, hio laki 2 kwa gb 200 huenda ni ndogo
--Zipo infinix na Tecno zenye gb 500
--Simu ikipotea bado files zako utazikuta kwenye memory card yako unayohamishia mafaili
Ana utoto mwingi na nani alimwambia kuwa ukiwa na iphone huwez ifadhi vitu Google drive au kwingine?
Na pia hata Android Google drive wanakuoa just 15gbs bure
Huko online kutunza mafaili kuna vikwazo vya gb, ukiwa na memory card yako hata ya gb 256 una hamisha tu
 
Ukiwaa na memory card yako unaweza kufanya back up kila wiki, ukimaliza kucopy files zako kwenye memory card unaitoa unaitunza hata kwenye bahasha..... hata simu ikiibiwa bado una memory card yako.
Nmekuuliza swali nitajie flagship ambayo imetoka within these 2 years yenye kusupport memory card? Usilete midrange smartphones
 
Nmekuuliza swali nitajie flagship ambayo imetoka within these 2 years yenye kusupport memory card? Usilete midrange smartphones
Sony Xperia 1 III ina GB 256 na pia ina tundu la memory card...

Android ni mbuga kubwa, sio kama iphone mkibanwa mnatoa macho tu kama panya aliebanwa na mlango

😎😎😎

Sony Xperia 1 III ina GB 256 na pia ina tundu la memory card...

Android ni mbuga kubwa, sio kama iphone mkibanwa mnatoa macho tu kama panya aliebanwa na mlango

😎😎😎

View attachment 2167590
Na by the way sony hata hayuko top 10 ya wanaongoza kuuza simu that means people don't give a fu*ck about memory sticks 🀣🀣🀣
By the way hizi simu za sony zina features za professional video cameras hivyo sishangai kuwa na memory card maana zimetengenezwa kwa ajili ya kutumika kushoot mivideo.
Hata wewe hujainunua, yale yale ya blackberry kusema iphone itafail coz haiwezi kaa na charge kumbe people dont give a fu*ck about charge.
Jiulize kwanini iPhone anatoa highend phones na bado yuko top 3 ya mauzo?
Wakati wenzake humo wamemix hata simu za lak 2
 
Ila hiyo memory ukiipoteza au ikaharibika data zako utazipataje kama unasema online kuna vikwazo wakati Apple wanatoa free iclouds 5gb ambayo kimsingi unachotakiwa kuwa nacho ni bundle na password, hata kama simu utakuwa huna au umneisahau nyumbani una access info zako kwa urahisi
 
Atakuwa amenunua kufuata mkumbo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…