NAFUMUA MSHONO: Simu za iPhone ni mdebwedo, wanaozitumia ni watu wa kufuata mkumbo bila reasoning. Simu za Android ndio mpango mzima!

Mkuu naombeni msaada
 
Chief-Mkwawa njoo ugongelee msumari
Mi naongezea tu iphone hazina support nzuri ya Emulators. Kama una simu ya Android ya kisasa kuanzia 2018 kupanda unaweza ukacheza games za Nintendo switch, gamecube, Wii, Playstation 2, psp, Sega dreamcast na console kibao za zamani. Iphone kuna emulators chache sana na hizo zilizobo ni uibie uibie ku install.
 
Nimekutafuta mkuu ila nishasaidiwa
 
point taken and attached 💪💪

sasa siju wahenga watachezaje games waliozipenda enzi za ps1 😂😂

hivi kwenye swala zima la hardware iphone bado anaendelea kuuziwa display na samsung au mkataba uliisha
 
Hizo games ndo Vinini mkuu
 
point taken and attached 💪💪

sasa siju wahenga watachezaje games waliozipenda enzi za ps1 😂😂

hivi kwenye swala zima la hardware iphone bado anaendelea kuuziwa display na samsung au mkataba uliisha
bado wanauziwa, sema anatumia supplier wengi Apple siku hizi.
 
bado vipo vingi sana mwanangu, nimechoka kutype, android kuna taa za notification huku unajua ni mesej ya fulani imeingia kwa kucheki rangi ya taa ya notifications.

IPHONE HAKUNA HII [emoji23][emoji23][emoji23]
Nielekeze hiyo
Mimi najua ile mlio tu najua huo mlio ni sms ya Fulani

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Kwa maisha ya kibongo ni wachache sana wanaonunua simu kwa ajili ya kucheza gemu kubwa kubwa
Wengi hucheza vigemu simple simple na wengi ni kina mama
 
point taken and attached 💪💪

sasa siju wahenga watachezaje games waliozipenda enzi za ps1 😂😂

hivi kwenye swala zima la hardware iphone bado anaendelea kuuziwa display na samsung au mkataba uliisha
Outsourcinh ndio business, unawapa tenda watu wanatengeneza na kwenye memory yuko mbioni kuongeza kampuni nyingine ya mchina.
 
Outsourcinh ndio business, unawapa tenda watu wanatengeneza na kwenye memory yuko mbioni kuongeza kampuni nyingine ya mchina.
Hebu kaa kimya wewe 😂😂

Iphone hairusu hata emulators ndio kitu alichokuwa anasema chief mkwawa hapo 😂😂

Ni mpaka uibie ibie
 
Hebu kaa kimya wewe 😂😂

Iphone hairusu hata emulators ndio kitu alichokuwa anasema chief mkwawa hapo 😂😂

Ni mpaka uibie ibie
Kwenye business ni nzuri sana kujua target market yako.
Ni 0.0001% ya mtu atatoa miliom 3 anunue simu ili aweke emulator kucheza game za ps2 🤣🤣🤣.
Wewe mwenyewe unatumia android lakini japo inasupport hata hujafanya hilo.
Hizi hoja zenu nyingine zinafurahisha sana.
Hata hapa ni watu wachache wenye simu za android wameweka hizp emulators.
Simu za iPhone hazijawahi kuwa cheap and obviously hajawahi kulenga soko la waweka emulators kucheza games za ps2 na nitendo 🤣🤣🤣
 
Iphone ni kama wazanzibari wanaoweka sheria ya nchi nzima kusiuzwe chakula wala mtu kula hadharani kisa kuna mfungo bila kuzingatia kwamba si kila mtu anataka kufunga.

Mtu kama amemiss kujikumbushia kucheza games za zamani mwache ajipe raha kwenye emulator, shida ipo wapi?
 
Ukianza kule hoja za namna hiyo basi nikikwambia nimemiss kucheza games za sega vipi android kuna emulator ya kusupport hilo? 🤣🤣
Hizi ni hoja mfu
 
Ukianza kule hoja za namna hiyo basi nikikwambia nimemiss kucheza games za sega vipi android kuna emulator ya kusupport hilo? 🤣🤣
Hizi ni hoja mfu
Emulator za sega zipo nyingi tu kwa android na zina downloads za kutosha.
 
Tukabet

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa maisha ya kibongo ni wachache sana wanaonunua simu kwa ajili ya kucheza gemu kubwa kubwa
Wengi hucheza vigemu simple simple na wengi ni kina mama
Nina jamaa yangu hapa akishusha controller zinaisha (Bluetooth za simu). Na simu zinazohandle game ni maarufu sana hata kwa ambao si wapenzi wa games.

Trust me kuna watu kibao wananunua na kucheza games kwenye simu. Study moja imefanywa na newzoo kuna watu Milioni 186 wana game kwenye simu zao badala ya Console ama pc kusini mwa Jangwa la sahara. Vijana wengi siku hizi wanacheza Pubg, Fortinite, na mengineyo.

Angalia hata Mauzo ya simu siku hizi zenye perfomance kubwa ni maarufu sana kuliko features nyengine mfano simu za Xiaomi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…