Nafunguaje NGO na kupata hela za mradi?

Nafunguaje NGO na kupata hela za mradi?

Watu mnakatishana Sana tamaa mitandaoni ujuaji Mwingi Ila inshort Ngo unaweza Kufanikiwa vizuri tu Ila kwa hizi discourage za wabongo sio powah
Ukitaka kujua nn kinaongelewa hapa fungua yako. NGO ikiwa vizur huhitaji koneksheni mana tunafaham mziki wa kuendesha mradi na rationality ya result unayotaka. Good news ni kwamba mradi wako ukifikia lengo at least 75% ya tokeo. Utapata fund kokote utakapoenda hata iwe BOT
 
How to set strategic plan ya NGO tayari kwa sasa tumetenga bajeti ya karibu 1m fedha ya kitanzania ili tupate consultation tu.

Mana hata sisi Kuna miradi tunefanya pilot na imekwama tumeichia njiani.

Mm sikutishi Wala sikukatishi tamaa. Ila sikutii moto kwa kukwambia kuwa mambo ni mepesi.. NEVER!
 
Ukitaka kujua nn kinaongelewa hapa fungua yako. NGO ikiwa vizur huhitaji koneksheni mana tunafaham mziki wa kuendesha mradi na rationality ya result unayotaka. Good news ni kwamba mradi wako ukifikia lengo at least 75% ya tokeo. Utapata fund kokote utakapoenda hata iwe BOT
Acha utoto wewe. Kuna NGOs za MFUKONI kibao na zinapiga mpunga mwingi tu kila mwaka. Wafadhili wako MAMILIONI, kazi yako wewe ni kujieleza tu unataka kufanya nini na kwa gharama gani au kulingana na gharama zilizopangwa na mfadhili husika.
 
Unatakiwa kulipia mi nakufundisha hatua zote Hadi platforms wanazotumia kuweka katiba na cheti cha iyo NGO Hadi wazungu unawaletaje Tanzania na kuja kuvolunteer kwenye taasisi Yako na kutoa pesa kukusaidia kwenye miradi yako
Nimefungia na dada albino ili kuwawezesha baada ya hapo tumekwama zaidi ya mwaka na dada haishia kuwa kibaraka wa mawazo ya watu na anafikiria kuniondoa
 
Nimefungia na dada albino ili kuwawezesha baada ya hapo tumekwama zaidi ya mwaka na dada haishia kuwa kibaraka wa mawazo ya watu na anafikiria kuniondoa
Mnakwama wapi? Huwezi kupewa tu funds pasipo kuomba kwa kuandika. Balozi za kigeni karibu zote hapa nchini zinatoa funds kwa NGOs kila mwaka, tembelea kwenye tovuti zao utapewa miongozo
 
Ukishindwa nenda ofisi ustawi wa jamii mkoa, wanakilakitu

Miongozo inayopelekea kuundwa vikundi kama hivyo

(1)umoja kusaidiana

(2) NG'O

Mpaka ,mwongozo wakupata katiba ,utapata
 
Back
Top Bottom