Nafuta mume ambaye hatoomba ngono kabla ya ndoa

nayeye asiombe hela mpaka ndoa
Hakuna sex hakuna kupeana mahitaji.Mpaka ndoa [emoji14].

Maswala ya Hela za saloon,Hela Sijui za bando tuombane kwenye ndoa.
 
hahahaaaa hapo sawa na hatuta funga ndoa naye mpaka apate kazi maana alitaka mwanaume mwenye kazi
 
Mwanangu soma kwanza,maliza chuo ndipo ufikirie kuolewa! Siku hizi hakuna ndoa za maana tena kwa dini yako ambayo Mwanamme anakuita"Njoo leo" harafu kesho anakwambia"toka" ukigoma anakupandisha cheo,afadhari usome upate elimu yako kwanza mambo mengine baadaye! Mbali na hapo bado umri wako ni mdogo kuolewa!
Waulize waliokutangulia watakusimulia!
 
Tafuta njia ya Eden ukifika chukua udongo wako finyanga aina hiyo ya mwanaume unaemtaka maana huku duniani hawapo kila la kheri.
 
Yaaani awe mume, halafu asiombe sex kabla ya ndoa, unaelewa lakini ulichoandika?
 
Ww jioe tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…