jerryempire
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 5,530
- 9,550
karibu tukielewana naoa ndani ya week 2 tu but shart langu ni kupima magonjwa yote tukiwa ote kama uko tayar karbu pm tuongeeHabar mm ni msichana wa miaka 21 natafuta mchumba ambae atakuwa tayari kuwa na mahusiano na mm bila sex Hadi ndoa.
Elimu: chuo mwaka wa pili. Nachukua degree ya special education.
Dini:muislamu .
Muonekano: mwili wa wastani mweusi.
Situmii kilevi chochote.
SIFA ZA NIMTAKAE.
Awe muislamu, umri miaka 25 Hadi 30. Awe na kazi . Elimu kidato cha nne nakuendelea Ila ni vizuri zaidi akiwa amefika chuo.
Awe mwembamba, mrefu au wastani rangi yeyote. Mwenye sifa hizo anifate pm.