King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Mpuuzi huyo achana nae.Mbeya saizi kuna hadi UDSM-MUCHAS yaani University of Dar es Salaam -Mbeya University College of Health and Allied Sciences.
On top of that Taasisi ya Saratani ya Ocean Road inajenga Centre ya Saratani pale rufaa,kiufupi kwa ma vyuo ni mengi hadi sio vizuri sasa hizo bei zitatoka wapi?
Kuna wapuuzi wanaoamini Mbeya ya zamani ndio ya sasa ilhali Jiji limebadilika majengo ya ghorofa yanaota kila uchao.
Barabara ndio changamoto but nazo kabla ya 2025 zitafumuliwa na kujengwa njia 4 kutoka Inyala hadi Tunduma,Uyole-Songwe bypass na Iwambi-Mbalizi bypass ndio miradi mikubwa itatekelezwa kwa Mbeya.
sambi sako mwenyeweMbeya ni safi sana ila hawajui kukata mauno, shanga wanaona uchafu.
Yani hata watu wawe wengi vipi, mfuasi wa ccm akifungua tu mdomo wake kuongea, lazima umtambueMbeya ni safi sana ila hawajui kukata mauno, shanga wanaona uchafu.
Nadhani tunatofautiana mitazamo mkuu, unaishi mbeya sehemu gani bossNimeishi,uliishi lini na ukaondoka lini? Unadhani kila siku ni kama Jana?
Mimi sio mwenyeji wa mbeya ila nimesoma chuo mbeya ,nilichokigundua mbeya kuna mzunguko sana wa hela ,halafu2 kuna population kubwa sana,biashara ya usafiri hasa bajaji utapiga sana hela ikifuatiwa na pikipiki na ice ,na huko chunya ndo balaa sana kwa mzunguko wa hela kutokana na shughuli za madiniUshauri mzuri kwa chunya ni nzuri hata tunduma nayo inafaa kwa mzunguko wa pesa iko vizuri
Ni kweli mbeya ukijituma unatoboa ila ukiwa mvivu ndio unaharibu kabisa mfumo wa maishaMimi sio mwenyeji wa mbeya ila nimesoma chuo mbeya ,nilichokigundua mbeya kuna mzunguko sana wa hela ,halafu2 kuna population kubwa sana,biashara ya usafiri hasa bajaji utapiga sana hela ikifuatiwa na pikipiki na ice ,na huko chunya ndo balaa sana kwa mzunguko wa hela kutokana na shughuli za madini
Naunga mkono hojaMimi nimekaa sana Dsm nikahamia mkoani 2014 kiukweli sijuti kabisa!!!
Yan inatakuwa kampen kabambe ya kushawishi watu warudi mikoani kuna kuna sehemu zinafursa sana !! Kikukweli dar kuna upotezaji muda mkubwa sana ika watu hawajui
Kweli kuingia uchumi wa viwanda itakuwa tabu sana
Comment moja ya hovyo, kati ya nyigi zilizochangiwa katika Uzi huu; Sugu alikuwa mbunge, alikuwa mnyakyusya?.Write your reply...tatizo la Mbeya ni uchawi na ukabila; wanyakyusa hawapendi wageni
Kwa nyanda za juu kusini mbeya ndio kimbilio la wengi,mfn kwenye upande wa biashara,watu wa njombe na iringa ndio wengi zaid mbeya,na nnaiman mbeya ni moja au namba moja kwa mikoa yenye watu wakarimu tzComment moja ya hovyo, kati ya nyigi zilizochangiwa katika Uzi huu; Sugu alikuwa mbunge, alikuwa mnyakyusya?.
Mbeya ni ya Wanyakyusa? (Wanyakyusa ni kabila pekee?)
Sehemu gani uliishi ukabaguliwa na wanyakyusa?
Je, wajua wafanyabiashara wakubwa mkoani Mbeya ni kutoka jamii ya kabila gani?
+++++++++++++++++++++++++++++
U better sleep my man.
Uyole,kilimoNadhani tunatofautiana mitazamo mkuu, unaishi mbeya sehemu gani boss
Ukabila na huo uchawi unatoka wapi Mji umejaa wageni? Acha porojo mkuu hizo mambo ni zilipendwaWrite your reply...tatizo la Mbeya ni uchawi na ukabila; wanyakyusa hawapendi wageni
Huko Mbeya hata room ya elfu 20 yenye umeme utapata. Ila ukae ukijua hakuna mkoa wanapogawa hela bure,ninapoandika hivi sina maana ya kukukatisha yamaha,unatoka kwenye jiji lenye watu takriban m6 lenye mzunguko wa pesa mzuri hata ukiuza maji unapata hela,unaenda mahali ambapo mzunguko wa pesa upo chini,vitu ni bei rahisi kama vile chakula makazi n.k ,lakini kuipata hela yenyewe ya kununua hivyo vitu ambavyo ni rahisi 'ipo kazi' nakushauri jitafakari upya ujiwekee make mapya ya maisha yakoKwa wataalamu wanaopajua Mbeya vizuri tupeana ripoti kuhusu makazi.
Nahitaji nipate room yenye gharama ya chini ya elfu 30 na nikalipa mwezi na kujipanga.
Nachokisikia Mbeya maisha ni marahisi nahitaji kwenda kujaribu huko.
Hivi akitoa hayo mazao ya kilimo mfn parachch,karot,ndz,viaz n.k vinavyopatikana mbeya kwa bei ya chini akiwa anapeleka dar ambako tayar anauzoefu nako hapo itakuaje mkuu?Uyole,kilimo
Pamoja na mzunguko mkubwa wa pesa watu wengi bado mishe zimeniendea vibaya.Huko Mbeya hata room ya elfu 20 yenye umeme utapata. Ila ukae ukijua hakuna mkoa wanapogawa hela bure,ninapoandika hivi sina maana ya kukukatisha yamaha,unatoka kwenye jiji lenye watu takriban m6 lenye mzunguko wa pesa mzuri hata ukiuza maji unapata hela,unaenda mahali ambapo mzunguko wa pesa upo chini,vitu ni bei rahisi kama vile chakula makazi n.k ,lakini kuipata hela yenyewe ya kununua hivyo vitu ambavyo ni rahisi 'ipo kazi' nakushauri jitafakari upya ujiwekee make mapya ya maisha yako
Tatizo watu wanaogopa maisha ya mikoani !!! Mm nimekulia dar ila nimeamua kuondoka ninaona kuna tofauti sana na mikoani ,Dar imetaiti sana sana huwezi tengenwza fedha ya maana kilaini aisee!!!Yaap unafanya kazi kwa mhindi mshahara laki 3 unaishi Goms (g/mboto) bunju, Mbagala au Mbezi unaamka saa 11 asbh kuwahi town kibaruani unatoka kibaruani saa 11 jioni unafika nyumbani choka mbaya njaa uchovu ukiangalia kwa siku umetumia nauli chakula maji jumla kama buku 7 unajikuta umekua mtumwa kazi haikulipi