Nahamia Mbeya maisha ya Dar yamenipiga vya kutosha

Weka degree yako pembeni afu tafta pesa. Mm Nina degree yangu kutoka chuo kikubwa kabisa hapa nchini lakn nachoma mahndi. Things aren't easy niggah. Kuna kipindi kodi ilinishnda nikawa nalala stand weeeh dont give up
Nimecheka kama mazuri, na degree yako unapigwa najua kaa standard 7 ,ila kikubwa nikukomaa Bora kusurvive ndugu mambo yamebadilika sana degree sio ishu tena
 
Kwa wataalamu wanaopajua Mbeya vizuri tupeana ripoti kuhusu makazi.

Nahitaji nipate room yenye gharama ya chini ya elfu 30 na nikalipa mwezi na kujipanga.

Nachokisikia Mbeya maisha ni marahisi nahitaji kwenda kujaribu huko.

Njoo Itende Mkuu kwanza ni karibu na town halafu ni rahisi kwenda iyunga sokoni kula chips za mia 3.
 
Kwa wataalamu wanaopajua Mbeya vizuri tupeana ripoti kuhusu makazi.

Nahitaji nipate room yenye gharama ya chini ya elfu 30 na nikalipa mwezi na kujipanga.

Nachokisikia Mbeya maisha ni marahisi nahitaji kwenda kujaribu huko.
Nilikuwa na ziara mikoa ya Rukwa, Katavi, Kigoma, Mbeya, na Mwanza last month aisee nilivyokuwa natoka Sumbawanga kwenda Mbeya niliona maajabu mahindi yalivyolimwa pembezoni mwa barabara nikahisi Mbeya ni sehemu sahihi ya kuishi.
 
Kama hujafika mbezi dar huijui kaa kimya tu
Nani kasema mbezi hajafika kuanzia mbezi kimara, mwisho,mbezi goba, msakuzi, luisi, maramba mawili, mivumoni, kote huko nimefika my point ni kuwa sijabase mbezi kibiashara kama kwingine kwa dar.
 
Ooh mafiulis nayajua na mapera pia, ila mafiulis siyapendagi sana, vipi tukuwekee yakutosha hayo?
Hata me mafiulis siyapendi ila niliyazungumzia kwa vile huku Dar sijawai kuyaona. Maparachichi ya kisasa na kienyeji ndo ya muhimu tutaongea vizuri kadri siku zitakvuokuwa zinakaribia.
 
Mkuu mbona hujataja mbalizi uliyo anza kumkaribisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…