Nahisi kama napoteza mahusiano na mzazi

pridah unanifatilia sana😂
 
Yaani hupo.sahihi kabisa mimi kitu kinanikela sana kwake mda wote yupo jf hapa yaani akiamka ile saa tano ngoma iyo jf atoki mpaka saa 8 usiku kila thread yeye yupo kama inzi huo muda anaotumia kuchat hapa si angekuwa anarekebisha mahusiano yake na familia
 
hebu nishaurini kwa mtazamo wenu nifanyeje ili kurudisha mahusiano na mzazi....
Waheshimu baba na mama yako ili upate kuishi miaka mingi.

Iwapo utaitii hiyo amri ugomvi wako na mzazi utaisha mara moja.

Acha kumdharau mzazi, akikwambia njoo nenda, usipoenda atakuhesabu wewe ni mwana unayemdharau.

Acha dharau kijana.
 
Imagine.
Na ni mwanafunzi.
Na hana mpango wa kuendelea zaidi na masomo.
Inaonekana hapendi shule.

Kweli mzazi atakua na amani?
 
Hee kweli inaonekana anakukera🤣😂😂😂 comments zako ni nyingi humu Mshamba endelea kuchukua notes
 
Tuna changamoto nyingi na wazazi wetu, ila tunapaswa kuwapenda, kuwaheshimu na kuwatii maana ndo tunu na ngao juu ya maisha yetu.

Mpende na kumthamini sana mama, naamini anakupenda na anakuhitaji ukawe msaada wake wa kesho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…