Nahisi kama napoteza mahusiano na mzazi

Nahisi kama napoteza mahusiano na mzazi

Hakikisha unamaliza hilo zogo na mzazi wako tena hasa kwa kujifanya mdogo yaani jidogoshe size ya mchanga na urefu kutoka kwenye mchanga Na kwenye mbingu yaani chakulia wewe ni mchanga Na mzazi ni mbingu

Muombe msamaha kwanza hata kama unahisi hauna kosa , mpigie simu ya kumsalimia unapopata nafasi kwa siku hata mara 2 au mara tatu

Zidisha zawadi kwa mzazi wako yaani kama labda ana pesa za kutosha tengeneza mazingira ya kumpa zawadi mkuu kama nifamilia zetu za uongeza maji ugali uwe mwingi hakikisha unajibana bana unamtumia pesa au mahitaji yake ya nyumbani bila ya kumtegea ndugu yako yeyote yulee hakikisha hayoo mkuu

Pengine una Ka mabadiliko na wewe haujakatambua nayeye anaona aibu kukwambia

Mzazi akinuna aisee kazi yenyewe utaiona chungu hasa wazazi wetu wa kiafrica kwani wana pambana sanaa na sisi ilaa akicheka utatusua popote palee
 
Back
Top Bottom