Nahisi kama napoteza mahusiano na mzazi

Spiritual warfare hiyo!

Mgogoro wa Imani huo mkuu, fanya hima upate suluhu ya kiroho. Vinginevyo mgogoro utaendelea baina yako na wanao.
 
Wazazi nao wanazinguaga basi tu ndio vile washakua wakubwa kwetu so tunajitahidi kuishi humo kwenye nidhamu

Kibongo bongo hii common observation.

Baadhi ya wazazi wana-wish watoto wao watimize ndoto za wazazi. Hili kulisema moja kwa moja hawawezi, badala yake wanazunguka mbuyu. Matokeo ni migogoro ambayo chanzo hakijulikani sawa. Hatari sana
 
Tunakupenda ndo mana tunakwambia ukweli.

Nina uhakika mama yako anakupenda na kuna namna anaona unapotea dear.Na hiyo nina uhakika inampa sana stress.

Hakuna mama ataona mwanae kipenzi anapotea a relax.
ntajishusha tu ila mitazamo yangu sibadilishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…