Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 5,806
- 7,424
Vijana wasumbufu sana wanaweza tembea na mtaji, anatakiwa ayafute shughuli ya kufanya mwenyewe ndio apanue mradi kuajili vijana hata wakitoroka anakijiwe chake cha kudumu.Ushauri wangu kwa hiyo michango kidogo utakayo pata, jaribu ata kusaka vijana ata wawili wa kigogo kutoka dodoma wakuuzie kahawa.
Ina lipa sana ile mkuu, au vijana waku sambazie mayai ya kuchemsha.
Kosa kubwa lilifanyika hapa na ndio majuto yanaanzia hapa. Kwa nini wasimalize nyumba kwanza?Pole sana kaka, hakika utanyanyuka...
Ila ulifanya makosa sana kumiliki magari matatu wakati unakaa nyumba ya kupanga. Huyo mkeo pia mwangalie kwa makini, yawezekana ndio wale wanawake wa mjini wanaopenda maisha ya anasa..
Pole sana, Maisha ni mapambano usikate tamaa na huu ndio wakati sahihi wa kuwajua marafiki zako wa kweli..
Umemfokea[emoji15]Mimi kwanza nikupe pole halafu nikulaumu kwa kuwa na mawazo mgando na ya kijinga kama hao humu jf huwa mnatiuita ma layman sisi tusioenda shule lakini akili ya mtaa ipo full hiyo kw mfano una gari ukiuza hata 2mil tu ukanunua lone zako tatu za tigo voda na aetel ukatega sehemu yenye watu wengi kwa kibinda cha mpesa wallai kwa maisha ya dar es salamm hukosi hela ya kula wala kodi ya chumba kimoja cha tsh 40 hapo bunju tatizo akili yako imeganda status ile ile ambao leo haipo tena .njoo vijijini mjofunze kwa walimu unakuta mwl ana ajira analima ,anafuga , anafanya biashara ndogondogo na mambo yanaenda safiii kabisa mwisho.HUNA MKE WEWE UNA COVID 19.usiku mwemA.
Hata vitu ambavyo ni jukumu lako vinagusa ?, Mfano kuoga, kut*mba/mbwa,Siasa inaugusa maisha yako yote.
huu ni UTOPOLO MWINGINE,jamaa kashaseme hivi vitu vyote vimemkuta tu hakutegemea na kajitahidi kuweka sawa ikashindikana sasa wewe unaanza kumuhesabia hivyo vigari ashauza na nyumba sijui kila kitu kapoteza vya nini,NYIE NDO WATU MNA MATUMBO MAKUBWA HUKU AKILI YENU ROBO KILO HAIFIKI
Hongera mkuu. Hii kikwazo cha mwenza anayefaa mke/mume ukiona umekivuka kufanikiwa kuna possibility kubwa.To be honest, namshukuru sana Mungu kwa aina ya mke alie nipea.
Najua hajakamilika, lakini hakika ni wakipekee sana nikilinganisha na changamoto ambazo wengi wanapitia na wake zao.
Anyway, pole sana mkuu na hakika ningekua na connection ningekuunganisha kwa bidii zangu zote.
Ebu naomba namba zako PM
Kwakweli mkuu, na by nature sisi wanaume tunapo pata utulivu wa ndani, basi hata akili hutulia sana naku focus kwenye mambo ya msingi.Hongera mkuu. Hii kikwazo cha mwenza anayefaa mke/mume ukiona umekivuka kufanikiwa kuna possibility kubwa.
Nadhani wengi tumekuelewa. Kusema alimpa mil 6 haimaniishi alikuwa anamjali sana. Inawezakane kulikuwa na namna aliyokuwa anam-treat wakati ana fedha. Pia inawezekana ni mke mapepe tu hatuwezi kujua kwani hapa tumesikiliza upande mmoja. Kuwa na amani kwani hapa mtu unaweza kushambuliwa kwa kusema ukweli.Soma tena ujumbe wangu, this is a social platform. Ni ujumbe kwa kila mtu, kama wewe haukufai yupo unaemfaa.
Wanaume mkishika pesa msijisahau tu, kuna kesho na mkeo ndio aweza kuwa msaada wako mkubwa au akakuzidishia depression kulingana na ulivyokuwa unamtreat.
BTW wewe ulivyonitukana ndio umenisaidia? Au hapo hujatumia maneno umetumia maji eeh!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuelewa kabisa. Nakuelewa kwa sababu kinyume chako wewe mimi nilipata asiye na utulivu hivyo najua madhara yake. Hasa unapokuwa kwenye hali mbaya ya kifedha na nyumbani hakuna amani unaweza kuomba poo.Kwakweli mkuu, na by nature sisi wanaume tunapo pata utulivu wa ndani, basi hata akili hutulia sana naku focus kwenye mambo ya msingi.
Hivi unajua kuna watu wengi wamejinyongea kwenye nyumba zao kwa matatizo kama haya? Nachotaka kusema ni kuwa, hata kuwa nyumba kwenye tatizo kama hili inaweza isiwe suluhisho na badala yake ikawa kero zaidi hasa unapokuwa na mke/mume kichwa majiKuna suala moja la kujifunza kwenye mkasa wa huyu bwana,jamani tusidanganyane ukipata nafasi ya kushika hela jenga hata ka nyumba ka chumba na sebule ili likitokea la kutokea uwe na sehemu iitwayo kwako.Nimeshangaa sana ndugu yangu huyu ana gari tatu ila anaishi kwenye nyumba ya kupanga HII NI AIBU KUBWA SANA!!!! Na asilimia kubwa ya vijana ndio aina ya maisha yetu TUNAPENDA TUONEKANE TUNA DRIVE MA NDINGA HUKU UMEPANGA CHUMBA NA SEBULE kibaya zaidi una familia,my friend mambo yakibadilika familia haiwezi kuishi kwenye gari NDIO MAANA MKE ALIAMUA KUKIMBIA NA FAMILIA KWA KUWA ALIONA BABA HANA SEHEMU YA KUISHI NA KWENYE NYUMBA KAFUKUZWA!!!
Hayajakukuta wewe.tema mate chini na umshukuru Mungu wako.Huyu hana akili tu ana gari lakini analia njaa na kusema amekata tamaa ?
Hivi anajua kukata tamaa huyu kweli?
All is well kwa kweli. Umenisusa tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119]kunywaaa maji mkuu. Khaa. Hope all is well
Acha uboya soma vizuri. amesema amejenga nyumba ambayo haijakamilika.kwani hata akiwa ame rent nyumba kuna kosa akisema home ?Hizi article zako mbili za Jan na Feb 2020 hazi support haya matatizo yako, yanaonyesha unamiliki nyumba na ulikua kazini mpaka Feb,2020View attachment 1639385View attachment 1639386
Af mtu kama huyo akiachwa anapagawa kabisa 😂 utafikri sio yeye alieleta uchizi.Yaan jaman me sielewagi kbs. Sijui huwa tunataka nini. Sijawahi kijua asilan abadani
Kama huna uzoefu wa biashara sikushauri kuuza nyumba. Hiyo iache. Tena iache kabisa hata usichukulie mkopo.IACHE KAMA ILIVYO.NARUDIA NYUMBA HIYO IACHE USIUZE USICHUKULIE MKOPO.