Nahisi maamuzi haya ni moja ya dhambi zangu, zitakazo nisumbua na kuni tesa kwenye maisha yangu

kaka nilicho fanya ni kumuuliza mdogo wake, ange penda kupewa mtaji afanye nini na wapi??.

ame funguliwa saloon sehemu nzuri mno, Kodi ya miezi 6 ime lipwa.
dogo ana issue zake, ila Ile ni Kama extra na Ina walipa kwa maelezo yake.

bado Kuna mchango tuli kubaliana washkaji, tuwe tuna mpa Maza ake.
shida ili kuwa kila niki enda au mpigia simu ana Lia Sana.
ni Kama ana hisi kuishi kwangu ni batili.

shida mama wa Jamaa ni Kama vile ana hisi, au sijui ali ambiwa kuwa baadhi ya vijiwe vya jobless vili kuwa vya mwanae!!
kasha niuliza, eti watu Wana sema. Ika bidi nimpe mkanda mzima.
Ila bado ali niuliza Tena, Eti mwanae ange kuwepo ange sema ukweli. Duh

Dr am 4 real PhD, mshamba_hachekwi, MrsPablo1, Chaliifrancisco naifupisha hapa. Sito malizia Tena.
Dah pole sana man, yatapita tu ni suala la muda.
 
Hii ni issue kubwa sana na hutopata amani ya nafsi kama utaendelea kujionesha kwao.

Wewe unafanya kwa wema ila kwa binadamu ambao wana mitazamo tofauti, uwepo wako ni kama kutonesha kidonda kwao.

Man saidia unapoweza ila usifanye attachment. Give them some space to heal na wakati ukifika, watajifunza kukubaliana na uhalisia na kama hawatoweza. LIVE YOUR LIFE kwa sababu hakuna utachofanya kitarekebisha kitu kilichotokea
 
mama yake ana nilaumu kwa kumlazimisha kwenda Ile safari, lakini ana hisi pia haku pambaniwa kupata huduma za afya ka Mimi.
Je hiyo safari ilikuwa ya kikazi au ni ya bata tu? Na je huyo jamaa alifariki akiwa anapatiwa matibabu au? Kama jibu ni ndio je mlikuwa hospitali tofauti?

Yani huyo mama anatumia kigezo gani kusema kuwa mwanae hakupambaniwa kama wewe? Na je kwanini akupe lawama wakati na wewe ulikuwa katika hali mbaya ya kutokujitambua?
 
Huhitaji kuwa na hali hiyo maana hukukusudia. Wewe hujaleta ajali na hukupanga.
Kifo kikifika huwa kimefika. Huwa kinatafuta sababu.
 
Je hiyo safari ilikuwa ya kikazi au ni ya bata tu? Na je huyo jamaa alifariki akiwa anapatiwa matibabu au? Kama jibu ni ndio je mlikuwa hospitali tofauti?

Yani huyo mama anatumia kigezo gani kusema kuwa mwanae hakupambaniwa kama wewe? Na je kwanini akupe lawama wakati na wewe ulikuwa katika hali mbaya ya kutokujitambua?
safari ya mishe mkuu, mwanzoni tuli kuwa hospital Moja kwa maelezo niliyo pewa.
ila ali kata kamba siku chache tu, means hakukuwa na namna.

Mimi nili hamishwa, baada ya taarifa kufikia wajomba zangu. Kuna muda natamani nimuonyeshe risiti za matibabu yangu ili aone kuwa haikuwa mchezo.
hata wajomba Walipo pata taarifa, hawa kuamini ka Nita pona.

Mwisho ana amini baadhi ya vijiwe vya jobless, ni vya mwanae.
 
Mtu yoyote akiwa katika hali ya huyo mother, lazma atafute mtu wa kumlaumu ili aweze handle huo uchungu anaousikia kwa kuelekeza negative energy kwa mtu mwingine.

Na kwa maelezo ya intel, jamaa alikuwa ni tegemeo la Familia kwa hiyo huo unakuwa ni msiba mara mbili.

Na kwa setting ya story bila shaka ni uswazini kwetu ambapo msiba usipokuwa clean bhasi lazma utafutiwe story, kwa hiyo intel ndio story yenyewe kwa sasa na kila mtu atangea lake na mengine ndio yanayomfikia huyo mama mzazi.

Mbaya zaidi huyo maza kumuuliza intel mara mbili mbili kuhusu hiyo issue. Ina maana kuna upande anauamini kwa hiyo movement za intel kutaka kuonekana mwema sana au kusaidia sana ili aondoe guilty, yawezekana ikasababisha speculations kuwa kubwa zaidi
 
bro watu wame sema haieleweki, nikaona Bora nifupishe kwa walio sema nimalizie.
Sasa mkuu hata mimi shule mwalimu wangu alisema pocho,zero sijui sifahamu kitu. Haya maneno sio ya kunifanya niwache shule ila nijipange niwe mwanafunzi bora.

Wapo watakao soma na wapo watapita na wapo wataleta shobo zao hapa wewe kaza buti kuleta stori tu.
 
safari ya mishe mkuu, mwanzoni tuli kuwa hospital Moja kwa maelezo niliyo pewa.
ila ali kata kamba siku chache tu, means hakukuwa na namna.

Mimi nili hamishwa, baada ya taarifa kufikia wajomba zangu. Kuna muda natamani nimuonyeshe risiti za matibabu yangu ili aone kuwa haikuwa mchezo.
hata wajomba Walipo pata taarifa, hawa kuamini ka Nita pona.

Mwisho ana amini baadhi ya vijiwe vya jobless, ni vya mwanae.
Nadhani hilo la mwisho kuhusu vijiwe labda ndio linamuumiza zaidi. Je hivyo vijiwe hukuwa umevisajili?
 
Mtu yoyote akiwa katika hali ya huyo mother, lazma atafute mtu wa kumlaumu ili aweze handle huo uchungu anaousikia kwa kuelekeza negative energy kwa mtu mwingine.

Na kwa maelezo ya intel, jamaa alikuwa ni tegemeo la Familia kwa hiyo huo unakuwa ni msiba mara mbili.

Na kwa setting ya story bila shaka ni uswazini kwetu ambapo msiba usipokuwa clean bhasi lazma utafutiwe story, kwa hiyo intel ndio story yenyewe kwa sasa na kila mtu atangea lake na mengine ndio yanayomfikia huyo mama mzazi.

Mbaya zaidi huyo maza kumuuliza intel mara mbili mbili kuhusu hiyo issue. Ina maana kuna upande anauamini kwa hiyo movement za intel kutaka kuonekana mwema sana au kusaidia sana ili aondoe guilty, yawezekana ikasababisha speculations kuwa kubwa zaidi
Yeah uswahili mambo mengi sana. Na hapo msela akifanikiwa kwenye vijiwe mambo yakiwa bam bam anaweza hata kuambiwa alimtoa jamaa kafara.
 
Back
Top Bottom