Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
- Thread starter
- #101
Soma comment ya juu hapo mkuu, nime fupisha tuendelea mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soma comment ya juu hapo mkuu, nime fupisha tuendelea mkuu
Dah pole sana man, yatapita tu ni suala la muda.kaka nilicho fanya ni kumuuliza mdogo wake, ange penda kupewa mtaji afanye nini na wapi??.
ame funguliwa saloon sehemu nzuri mno, Kodi ya miezi 6 ime lipwa.
dogo ana issue zake, ila Ile ni Kama extra na Ina walipa kwa maelezo yake.
bado Kuna mchango tuli kubaliana washkaji, tuwe tuna mpa Maza ake.
shida ili kuwa kila niki enda au mpigia simu ana Lia Sana.
ni Kama ana hisi kuishi kwangu ni batili.
shida mama wa Jamaa ni Kama vile ana hisi, au sijui ali ambiwa kuwa baadhi ya vijiwe vya jobless vili kuwa vya mwanae!!
kasha niuliza, eti watu Wana sema. Ika bidi nimpe mkanda mzima.
Ila bado ali niuliza Tena, Eti mwanae ange kuwepo ange sema ukweli. Duh
Dr am 4 real PhD, mshamba_hachekwi, MrsPablo1, Chaliifrancisco naifupisha hapa. Sito malizia Tena.
kaka Kuna muda najuta Sana, lawama zisizo na msingi wakati naji toa kwao.Dah pole sana man, yatapita tu ni suala la muda.
Wewe unalaumiwa kwa kipi hasa?kaka Kuna muda najuta Sana, lawama zisizo na msingi wakati naji toa kwao.
wajomba zangu wali sema, kwakuwa Umesha pambania waache tu.
ila ni utu tu, ndo una niponza.
kaka nilicho fanya ni kumuuliza mdogo wake, ange penda kupewa mtaji afanye nini na wapi??.
ame funguliwa saloon sehemu nzuri mno, Kodi ya miezi 6 ime lipwa.
dogo ana issue zake, ila Ile ni Kama extra na Ina walipa kwa maelezo yake.
bado Kuna mchango tuli kubaliana washkaji, tuwe tuna mpa Maza ake.
shida ili kuwa kila niki enda au mpigia simu ana Lia Sana.
ni Kama ana hisi kuishi kwangu ni batili.
shida mama wa Jamaa ni Kama vile ana hisi, au sijui ali ambiwa kuwa baadhi ya vijiwe vya jobless vili kuwa vya mwanae!!
kasha niuliza, eti watu Wana sema. Ika bidi nimpe mkanda mzima.
Ila bado ali niuliza Tena, Eti mwanae ange kuwepo ange sema ukweli. Duh
Dr am 4 real PhD, mshamba_hachekwi, MrsPablo1, Chaliifrancisco naifupisha hapa. Sito malizia Tena.
Wewe lete, form 3 tulikua tunatenganishwa art kivyake, science kivyake, biashara kivyake na kilimo kivyao.Wana sema haieleweki kaka
Pole mkuu, binadamu ndo tulivyo.kaka Kuna muda najuta Sana, lawama zisizo na msingi wakati naji toa kwao.
wajomba zangu wali sema, kwakuwa Umesha pambania waache tu.
ila ni utu tu, ndo una niponza.
Mkuu unaonaje ukamalizia uzi ndio ujibu comments samahani kama nimekukwaza.kaka Kuna muda najuta Sana, lawama zisizo na msingi wakati naji toa kwao.
wajomba zangu wali sema, kwakuwa Umesha pambania waache tu.
ila ni utu tu, ndo una niponza.
mama yake ana nilaumu kwa kumlazimisha kwenda Ile safari, lakini ana hisi pia haku pambaniwa kupata huduma za afya ka Mimi.Wewe unalaumiwa kwa kipi hasa?
Soma page ya 99 mkuu, nime fupisha tu.Wewe lete, form 3 tulikua tunatenganishwa art kivyake, science kivyake, biashara kivyake na kilimo kivyao.
Soma page ya 99, nime fupisha tu mkuu.Mkuu unaonaje ukamalizia uzi ndio ujibu comments samahani kama nimekukwaza.
Je hiyo safari ilikuwa ya kikazi au ni ya bata tu? Na je huyo jamaa alifariki akiwa anapatiwa matibabu au? Kama jibu ni ndio je mlikuwa hospitali tofauti?mama yake ana nilaumu kwa kumlazimisha kwenda Ile safari, lakini ana hisi pia haku pambaniwa kupata huduma za afya ka Mimi.
safari ya mishe mkuu, mwanzoni tuli kuwa hospital Moja kwa maelezo niliyo pewa.Je hiyo safari ilikuwa ya kikazi au ni ya bata tu? Na je huyo jamaa alifariki akiwa anapatiwa matibabu au? Kama jibu ni ndio je mlikuwa hospitali tofauti?
Yani huyo mama anatumia kigezo gani kusema kuwa mwanae hakupambaniwa kama wewe? Na je kwanini akupe lawama wakati na wewe ulikuwa katika hali mbaya ya kutokujitambua?
Mkuu nishasoma lakini mbona kule ulifikia unakwenda shopping ili upikiwe na uongee kuhusu Dili. Pia hujaelezea safari mpaka ajali kutokea na ulipitia changamoto gani ukiwa upo hospital na kurudi kitaa.Soma page ya 99, nime fupisha tu mkuu.
bro watu wame sema haieleweki, nikaona Bora nifupishe kwa walio sema nimalizie.Mkuu nishasoma lakini mbona kule ulifikia unakwenda shopping ili upikiwe na uongee kuhusu Dili. Pia hujaelezea safari mpaka ajali kutokea na ulipitia changamoto gani ukiwa upo hospital na kurudi kitaa.
Mtu yoyote akiwa katika hali ya huyo mother, lazma atafute mtu wa kumlaumu ili aweze handle huo uchungu anaousikia kwa kuelekeza negative energy kwa mtu mwingine.Je hiyo safari ilikuwa ya kikazi au ni ya bata tu? Na je huyo jamaa alifariki akiwa anapatiwa matibabu au? Kama jibu ni ndio je mlikuwa hospitali tofauti?
Yani huyo mama anatumia kigezo gani kusema kuwa mwanae hakupambaniwa kama wewe? Na je kwanini akupe lawama wakati na wewe ulikuwa katika hali mbaya ya kutokujitambua?
Sasa mkuu hata mimi shule mwalimu wangu alisema pocho,zero sijui sifahamu kitu. Haya maneno sio ya kunifanya niwache shule ila nijipange niwe mwanafunzi bora.bro watu wame sema haieleweki, nikaona Bora nifupishe kwa walio sema nimalizie.
Nadhani hilo la mwisho kuhusu vijiwe labda ndio linamuumiza zaidi. Je hivyo vijiwe hukuwa umevisajili?safari ya mishe mkuu, mwanzoni tuli kuwa hospital Moja kwa maelezo niliyo pewa.
ila ali kata kamba siku chache tu, means hakukuwa na namna.
Mimi nili hamishwa, baada ya taarifa kufikia wajomba zangu. Kuna muda natamani nimuonyeshe risiti za matibabu yangu ili aone kuwa haikuwa mchezo.
hata wajomba Walipo pata taarifa, hawa kuamini ka Nita pona.
Mwisho ana amini baadhi ya vijiwe vya jobless, ni vya mwanae.
Yeah uswahili mambo mengi sana. Na hapo msela akifanikiwa kwenye vijiwe mambo yakiwa bam bam anaweza hata kuambiwa alimtoa jamaa kafara.Mtu yoyote akiwa katika hali ya huyo mother, lazma atafute mtu wa kumlaumu ili aweze handle huo uchungu anaousikia kwa kuelekeza negative energy kwa mtu mwingine.
Na kwa maelezo ya intel, jamaa alikuwa ni tegemeo la Familia kwa hiyo huo unakuwa ni msiba mara mbili.
Na kwa setting ya story bila shaka ni uswazini kwetu ambapo msiba usipokuwa clean bhasi lazma utafutiwe story, kwa hiyo intel ndio story yenyewe kwa sasa na kila mtu atangea lake na mengine ndio yanayomfikia huyo mama mzazi.
Mbaya zaidi huyo maza kumuuliza intel mara mbili mbili kuhusu hiyo issue. Ina maana kuna upande anauamini kwa hiyo movement za intel kutaka kuonekana mwema sana au kusaidia sana ili aondoe guilty, yawezekana ikasababisha speculations kuwa kubwa zaidi