Nahisi nimekuwa mlevi wa Coffee, natamani kuacha

Daah waikeshee..umepinda๐Ÿ˜‚
 
si heri yako Mimi nisipokunywa kvant Kwa usiku nateseka na mwisho hata saa Saba usiku nitatoka nisikilizie penye kelele za bar naenda chukua naipiga najisikia Raha sana
ILA NATAKA KUACHA NASHINDWA
Kvenga ni mbaya sana.inafuta kumbukumbu mkuu.


Badilisha hiyo gin aise..utakuwa unapoteza kumbukumbu kama umefikia hatua hiyo๐Ÿฅน
 
Asante ๐Ÿ’ƒ๐Ÿ’ƒ๐Ÿ’ƒ
 
Ndio maana Chakorii kacheeeka๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
I mean kutokua na hela.kabisa yaani hata mia๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
Hapana kwakweli na ni Kwa level hiyo ya kukosa pesa tafadhali naomba maombi hayo nikurudishie mwenyewe uone raha ya kukosa hata mia.

Una roho ngumu sana mkuu.
 
Pole sana sitakagi kua mtumwa wa chochote, before nilikua mtumwa wa movies na Yoghurt ๐Ÿ™ˆ
Nashukuru Mungu I'm free now
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ