Nahisi nina tatizo kubwa la afya ya akili linaninyemelea. Wataalamu wa mambo ya saikolojia naombeni msaada mda sio mrefu nitadata

Si tunatafuta mume na wewe unaacha mke
 
mwanaume wa umri wako anajitaji mke na familia kwa ujumla. Utahangaika sana lakini mke ndo suluhisho la matatizo yako.
Mtaiponda hii comment lkn ukweli ndo huo.
Na hivi ndivyo kataa ndoa watakavyoishi maisha yao huko mbeleni...
Mkuu comment ya akili nani aiponde sasa!

Furaha ya mwanaume inakamilishwa na mwanamke, bila kuwa na mwanamke huwezi kupata furaha inayostahili.

Mwanamke wa ndoto yako unayempenda kwa dhati ya moyo wako ni furaha sana kuwa naye pia ni raha.

Mungu hajakosea kumuumba Adamu kama single na hapo hapo akaigundua dhiki ya upweke iliyomkumba akiwa peke yake.

Chap akamtengenezea kimwana cha nguvu.
Sisi ni nani tuishi kinyume na matakwa ya kanuni za Mungu?
 
Ni swala la mda tu, puuza
 
mwanaume wa umri wako anajitaji mke na familia kwa ujumla. Utahangaika sana lakini mke ndo suluhisho la matatizo yako.
Mtaiponda hii comment lkn ukweli ndo huo.
Na hivi ndivyo kataa ndoa watakavyoishi maisha yao huko mbeleni...
Huyo ana yake mambo...single life huku hela unayo full burudani.
Kuishi na jitu zima ndani ya nyumba lina mauzi yake mweeee!
Yeye aendelee kula mbususu mpaka pale atapata mbususu moja nzuri itampa furaha
 
Ufanyavyo Wewe Ni Vya Kukupa Raha,,Furaha Kamwe Haitafutwi Na Mfumo Wake Ni Wa Kuja Na Kuondoka,,Huwa Haidumu Kamwe,,Kama Ilivyo Huzuni,,,Kilio,,Kicheko n.k.n.k Emotions Feelings Never Last Forever.
 
Huyo ana yake mambo...single life huku hela unayo full burudani.
Kuishi na jitu zima ndani ya nyumba lina mauzi yake mweeee!
Yeye aendelee kula mbususu mpaka pale atapata mbususu moja nzuri itampa furaha
hana ukame wa mbususu na bado hana raha.
Wataalam wanasema kwamba binadamu wenye raha hapa duniani ni haya makundi mawili...
1. Married man
2. Single woman

Hapo ndo ujue kwamba anayehitaji ndoa zaidi ni mwanaume na si mwanamke.
 
Upo sahihi mkuu. Acha wabishi waendelee kubisha. Kuna umri ukifika mke/mume muhimu sana.
 
Kataa ndoa watakuja na mistari ya kupinga ila huu ndio ukweli. Ndoa ina challenges sana ila kuna kitu special inakupa.
Kataa ndoa watakuja kufa kifo kibaya sana.
 
Hekima za watu zitakupoteza,tenga muda wa faragha lia mbele za Mungu kama Daudi utaona mambo yakibadirika vinginevyo utapotea.
 
But guys tuweni wakweli anahitaj company m nampa ila analipia per hour kama business atawez most welcomed

Aliikana dini gani?
Nashukuru mkuu kwa swali zuri...ninaomba msaada wa kisaikolojia swala la dini limeingiaje hapa?!...bado naendelea kukusanya maoni ya watu mbalimbali ili niyafanyie kazi naweza kupata shuluhisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…