Nahisi nina tatizo kubwa la afya ya akili linaninyemelea. Wataalamu wa mambo ya saikolojia naombeni msaada mda sio mrefu nitadata

Nahisi nina tatizo kubwa la afya ya akili linaninyemelea. Wataalamu wa mambo ya saikolojia naombeni msaada mda sio mrefu nitadata

Nina miaka 38...Niko single(nimeachana na mke wangu)....sivuti sigara na wala sinywi pombe...sijaajiliwa nimejiajili kwhy hela ya kula vizuri na matumizi madogo mdogo hainipigi chenga kwa kifupi sina njaa...uhakika wa mbunye upo yani simu moja tu naletewa mbunye mpka mlangoni kwa kifupi japo niko single ila uhakika wa mbunye si haba nnao mda wowote nikiwa na upwiru

Ila shida yangu kubwa pamoja na mahitaji yote ya muhimu ambao naweza kuyapata lakini najiona kabisa mda mwingi sina furaha.kama siku sina kazi ya kufanya basi nisipokaa kwenye tv au nisiposhika simu yangu hiyo siku itakua ya huzuni sana kwangu

Kwa siku naweza kutumia zaidi ya 10,000 peke yake kwa ajili ya bundle tu ili nijaribu kuitafuta furaha mtandaoni ila bundle likikata narudi kwenye huzuni...nimekua addicted na simu pamoja naTV yangu kwasababu ya kukosa furaha mpka nafikia hatua usiku nalala sa8 mapak sa10 na nnachokifanya cha maana sikioni...inafikia hatua asubuhi naweza kupanga nitatoka sa1 ila nikishika tu simu najikuta imefika sa4 bado sijatoka

Kuna mda niliamini labda furaha ya kweli pekee ipo ndani ya yesu kristu kwhy niliamua mda mwigi niutumie kumtafuta mungu kwhy nilifuta kila kitu kwny simu yangu kuanzia insta.x.tiktok na social media zote mpka jamiiiforums niliifuta lakini changamoto ikaja hata kusoma mistari miwili tu ya biblia kichwa kilikua hakitaki ni huzuni tu

Kwani watanzania wenzangu mnafanyaje kupata furaha kwenye haya maisha mbona mm mda wote nakua na huzuni au mm nina tatizo la afya ya akili au nimelogwa au mtu akiwa single kwa mda mrefu ndo anakua na hali hii ili kama ndo sababu niende kumpgia goti mke wangu arudi... naomba wataalumu wa afya ya akili mnisaidie ili niweze kuondokana na hii hali najiona naelekea kudata
Hizo mbunye hazina uwezo wa kukuchangamsha akili na mwili?

Nenda kamuone daktari
 
Sisi wachumi bado tumekaa na calculator zetu kuona ni namna gani JF imejaza matajiri

Kama Kwa Siku unatumia 10,000 Kwa bando pekee, inaonesha Kwa Mwezi unatumia shilingi 10,000x30=300,000

Kama bando pekee unatumia shilingi 300,000 Kwa Mwezi, ni obvious zile habari za late JPM kwamba kufikia 2025 Tanzania itakuwa imeingia Uchumi wa Kati Juu ni sahihi 🤗

Bado kidogo tutaanza kuwapa misaada Marekani 🙌
 
hana ukame wa mbususu na bado hana raha.
Wataalam wanasema kwamba binadamu wenye raha hapa duniani ni haya makundi mawili...
1. Married man
2. Single woman

Hapo ndo ujue kwamba anayehitaji ndoa zaidi ni mwanaume na si mwanamke.
Ah wapi waongo mie nipo single nanyetuka na mlenda na napoiga porojo jf full raha...nikisikia njaa nadoea ugali mlenda wa mama wa kambo
 
Back
Top Bottom