Barbiedoll
JF-Expert Member
- Apr 7, 2023
- 772
- 2,150
Mkuu; wewe unapenda muziki? Yan unasikiliza muziki wa aina gani au kutumia vyombo vya muziki au kuimba ww mwenyewe? Naomba unijibu halafu nitaendelea baada ya jibu lako.
Kwa nn kule Dubai usingeenda na wewe?nawaza kupauza... mkuu na Tangazo nilishaweka humu humu...kuna member wamenipigia baadhi wameenda kukiona walau naweza kupata ahueni kama wakifika bei... niende kijijini huko nikaanze maisha upya au nijenge nje ya mji huko...!
ila kwasasa hali yangu ni mbaya... kuna mambo siwezi kuyaandika jamii itanicheka😭😭😭
nashukuru SANA 🙏 nitajitahidiUna depression!
That is part of life
Jiambie tu kuwa na hii itapita
Ukisikia mapito ya wengine utajiona una afadhali,
Mshukuru Mungu hata kwa afya ya hao watoto na mkeo na jiambie as long as bado wote mko hai kuna sehemu mtafika na mtasahau mapito yote!
Songa mbele maisha ndivyo yalivyo kuna wakati wa vita lakini na wakati wa amani upo!
Kwa nn kule Dubai usingeenda na wewe?
Pale ni kukomaa ukajenge, mana hata iweje mjini mjini tu. Wengi Wana nyumba mjini n wamerudi bush. Siku ukiuza mazao unakuja kuzuga hata wiki tatu town na familia yako! Kwako
lakini kipindi hicho nilikuwa mdogo sana... miaka 9 mkuuWakuu huyu ni WA dozi tu haya ya mungu na upako yake kunisaidia dawa ifanye kazi vizuri. Psychiatrist yoyote ukimuambia kuwa uliwahi kufanya jaribio la kujiua ikashindikana uñaanza dawa hapo hapo mbele yake akuone
1 M. The bump ilikuaje kwani mbona ulionesha nia ya kumbeba jamaa?. Kaka Dan Zwangendaba sema neno hapa kijana Hana pa kushika huyunafasi zilikuwa chache... harafu pia sikuwa nimejiandaa... ili hitajika fedha ya haraka haraka kama 700k kufanikisha huo mchakato...!
process ya kwenda nje inahitaji gharama hivi umekosa unatakiwa uwe hata na 1000k mkononi...!
Sijui kama anaelewaYan mkuu acha tu .. sisemi sana! Ila hali si shwari kila Kona ila muda wa kusononeka ndo haupatkan. Prince Mhando kaza makalio hayo .. vijana hatuna pa kushika! Bora wewe uchumi wako unalisha familia ya watu wanne Milo mitatu .. Kuna watu humu tuna hali mbaya.. ila tunaamin katika kila hatua tuliyopo na tunajifunza namna ya kusonga mbele na kuyabeba maumiv yake
kiuchumi siwezi kusema nina tatizo kihivyo kwani nina jishughulisha... japo sina kipato kikubwa cha kumsaidia mwingine ila nina uwezo wa kula milo mitatu...!
kwakweli sielewi kwanini nimewaza hivyo...!
Eeeh hapo kwenye jukwaa hapo,hayo ndio mambo ya kuongea sio kuongea mambo ya kufariki Ili iweje?Ngoja nikuchek PM tuanzishe jukwaainabidi tutengeneze majukwaa ya vijana kushauriana ana kwa ana kwakweli hali mtaani ni mbaya mno.
watu jamii yangu wapo wengi na awana pa kusemea... wakuu ukiona mtu kajinyonga usimcheke😭😭😭
kuna mambo hayaelezeki
nashukuru SANA 🙏... muda mwingine nawaza na sipati majibu ya ninacho waza...!Ukiweza pata muda nenda Ocean Road hospital salimia wale wagonjwa.
Pia pita Muhimbili ona watu wanaopambania uhai, wanavyotamani wawe na afya Bora tu bila kujali wanamiliki kitu Gani.
Mawazo au Hali unayojiweka inamchangi Mkubwa sana kwenye matokeo ya kesho Yako, usikate tamaa kamwe.
Ukianza kuwazawaza kufa, ni kama una amrisha mwili wako na viungo vyote kuanza kuitikia hiyo sauti.
shukrani sana... Best yanguEeeh hapo kwenye jukwaa hapo,hayo ndio mambo ya kuongea sio kuongea mambo ya kufariki Ili iweje?Ngoja nikuchek PM tuanzishe jukwaa
na hizo dozi... si zinapatikana kwenye maduka yetu haya...? ya mtaani..? pharmacyWakuu huyu ni WA dozi tu haya ya mungu na upako yake kunisaidia dawa ifanye kazi vizuri. Psychiatrist yoyote ukimuambia kuwa uliwahi kufanya jaribio la kujiua ikashindikana uñaanza dawa hapo hapo mbele yake akuone
Tujifunze kuongea Maneno Mazuri kwa Watu wenye matatizo kama haya hasa Depression iliyosababisha na stress au na mental Probl..Prince Mhando una psychosis.. una mental I'll iliyokomaa hasa tabgu nikufaham.
Ugumu wa maisha utakupoteza kabisa. Kwa kazi zote ulizofanya hujapata ya kukomaa nayo na kumbkumb zangu zinanambia upo unalinda shamba kisarawe la The bump. Je tatizo nn hasa?
Kama uliwahi kufikiria kujiua maana yake unatembea na wazo Hilo.. unahitaji haloperidol amitriptyline na folic acid. Pia therapy mana kwa hali hiyo utaanza kupata maruwe ruwe yani kuongea peke yako tena hivyo na kuokota karatas.
Nina ndugu yangu ana experience kama yako, unahitaji therapy na matibabbya mda mrefu sana kurudi kuwa kawaida. Umeshaianza kupoteza memory na huwezi kuconceteate? Duh
Ila mi mkali,sio tunaanza project halafu ghafla unaniambia unaahirisha ni ngumu Bora ufe!walah nitakununulia Asali ya Tabora na tango mwenyewe ule uone Cha moto😜shukrani sana... Best yangu
Nitajie mtu mmoja unayemfahamu siku zake za kuishi duniani hazikaribi kuisha. Nitajie mmoja tu.Mimi ni kijana ambae nina mshukuru sana Mungu tokea nimezaliwa hadi hapa nilipofikia, watu wamenisaidia na bado wana nisaidia.
Kuna Muda huwa nina kufuru au kukana kutkukubaliana na uwepo wa Mungu😭 hii ni kutokana na asilimia kubwa ya matarajio yangu tokea nikiwa mdogo hayakuwahi kutimia.
Maisha yangu yamekuwa ya mitihani sana, kila nilichojaribu kuanzisha hakikuwahi kufika mwisho 😭😭😭 kwakweli nimeishi nikiwa na huzuni na furaha chache, mpaka hapa nilipofikia nina watoto wa 3 ambao ninawapenda mno.
Vipo vitu vichache ambavyo vinanitokea hivi sasa vinapelekea mimi kuhisi pengine siku zangu hapa Duniani zina karibia kuisha.
Hivi karibuni kichwa changu kimekuwa kizito mno kutoa maamuzi na ni kama kichwa kinanielemea, kimekuwa na maumivu fulani mithili ya kichwa kilicho toka kuuma!
Kwa taaluma mimi ni Mwandishi wa Habari ambaye napenda sana kusoma vitabu na asilimia kubwa ya vitu vingi nimejifunza kutokana na kusoma vitabu, lakini hivi karibuni nimepatwa na hali ya kutokuelewa kila ninacho kisoma.
Vitabu vyote ambavyo nilikuwa navipenda nikivisoma nahisi vinanichanganya, hata baadhi ya mada nilizokuwa nazipenda hapa JAMIIFORUMS nazo pia nimekuwa sizielewi.🥲
Nimepatwa na hofu hata nikikaa karibu na watu ninaowapenda sifurahii uwepo wao, nahisi kujitenga tu nikae peke yangu tu muda wote.
miaka ya nyuma nilikuwa na ndoto pengine za kuwa fulani nikawa naziishi ndoto hizo kwa kuzipambania kwa vitendo lakini siku bahatika kuishi maisha ya ndoto zangu.
siku hizi ni kama siioni future yangu kabisa... muda mwingine mpaka najiona kabisa kama napoteza tuu muda 😭😭😭😭
kama ninge kuwa simu hope ingekuwa kwenye flight mode ✈️🤣🤣🤣
Ikitokea hamjaniona hewani mwezi mzima mfululizo mjue siku zangu niliziona kabisa zinahesabika hivyo malaika mtoa roho atakuwa amesha fanya yake.
Sifikirii kabisa kujiua kwa aina yoyote ile japo kwenye maisha yangu udogoni mwanangu nilishawahi mara 2 kujaribu kujiua. 😭
Mara ya kwanza nilijaribu kunywa sumu haikuniua, hapo nilikuwa na miaka 9 au 10, mwaka mmoja baadae nilijaribu kujinyonga bahati mbaya kile kitanzi pia hakikuondoka na maisha yangu.
Hivyo nichukue fursa hii kuwaaga ndugu zangu wana JAMIIFORUMS ambao tumeishi wote humu ndani kama familia. Kuna member humu nimesaidiana nao bila hata kufahamiana nao big up sana.
Kuna wengine tumekuwa ndugu na hata nje ya JAMIIFORUMS tumekuwa tukionana kwakweli sina cha kuwalipa.
Mkuu kumbuka mama yako anakutegemea hata kama unafanya kazi ya boltMimi ni kijana ambae nina mshukuru sana Mungu tokea nimezaliwa hadi hapa nilipofikia, watu wamenisaidia na bado wana nisaidia.

Na Dunia ya Sasa inataka watu wa namna hii,yaani ni ubishi na kukaza mpaka kieleweke, yaani ni ubishi kama Muha,plan A ikifeli unahami plan BYan mkuu acha tu .. sisemi sana! Ila hali si shwari kila Kona ila muda wa kusononeka ndo haupatkan. Prince Mhando kaza makalio hayo .. vijana hatuna pa kushika! Bora wewe uchumi wako unalisha familia ya watu wanne Milo mitatu .. Kuna watu humu tuna hali mbaya.. ila tunaamin katika kila hatua tuliyopo na tunajifunza namna ya kusonga mbele na kuyabeba maumiv yake