Nahisi siku zangu za kuishi Dunia zinakaribia kuisha, sielewi!




Utajibiwa kadri ya ulivyokuja... Kwasababu umekuja king'ombe ng'ombe ngoja tukuzabue king'ombe ng'ombe Jinga wewe!


Nani kakwambia hakuna wakenya wanaolalamika!

Umewahi kufika Kenya ? Yale maandamo ya wakenya sio kulalamika kule.

Kama uko US wamarekani hawalalamiki Sasa hivi kuhusu boarder policies? Hara Elon musk Kila siku analia kuhusu boarder policies.

Wewe lofa muosha matakore ya wazungu au mbeba boksi unamuona mtanzania mwenzako hajiekew akilalamika, SHWAIN WEWE.


Wakenya kibao nawajua hata hizo Kozi za Kijerumani Zinawapiga chini kwasababu ya Kukosa hizo Hela.


Halafu nani kakwambia nje ndio kuna maisha rahisi. Zaidi ya paycheck to paycheck lifestyle labda uzuri wa maghorofa.


Badala uje hapa utoe ushauri according na Mada unatuletea umaamuma wako.


Angekuwa ni demu hapa amekuja kuomba ushauri ungemsaidia ila kwasababu ni mwanaume unaleta uhayawani wako. Pumbavu wewe!
 

Tulikopitia
 
Pole Sana .

Unabidi kufahamu tatizo lako limekaa katika AKILI

Ukiruhusu vitu ambavyo binadamu kavitengeneza viwe vikubwa kukuzidi wewe utaumia Sana

Umekosa balance katika maisha yako (stability)

Ukibadilisha Mindset utaanza kuona matokeo

Umeruhusu negative Energy kubwa Sana katika MAISHA yako.

Njia bora na nzuri ya kutoka ulipo ni kufanya maamuzi ya makusudi kupata therapy ya AKILI ili ukae sawa.


HAPA duniani kila MTU anakufa lakini sio kila MTU huwa anaishi.

Unaona upo karibu Sana na kifo kwasababu hauishi bado Ila unasukuma siku.

Ukiweza angalia haya mambo.

@ Mazingira yako unapendelea kukaa yawe mazuri and supportive

@ Watu unaombatana nao wawe positive

Unaweza usiamini ktk uwepo wa MUNGU Ila ktk maisha yetu huwa kuna supernatural power inayoongoza maisha YETU. Keep this on your mind.

Unapohisi hisia za huzuni tumia njia ya kufanya Gratitude , Gratitude huwa inaondoa mabaya yote na kukurudisha katika utulivu .

Pia waweza trace mzunguko wa maisha yako ktk haya mambo.

1 financial issues
2 Emotion and mind
3 Health
4 Family
5 spiritually

ntaendelea......
 

Kweli MTU mweusi ni Wa kupuuzwa Sana hasa mswahili
 
Kaz za ulinz zina mishahra midogo sana ila Kuna sehem ukipata unakunja mpaka 600k monthly. Hapo focus kujenga kwanza kile kiwanja usiuze. Jenga hamishia familia pale..

Muwekee frem mkeo akae.. uhakikishe anawez kupata walau faida ya elf 5 kwa siku yeye binafsi. Alafu wewe ingia shamba kakomae na pori. Mana huko unaenda kujitoa kafara... Hali ya maisha kwa vijana tunafanana sana hasa tuliotoka kwenye umaskini mkubwa. Hasa mikoa ya kusini huku

So, hauko mwenyewe mkuu. Kuna mda nilikuwa nakunywa sana smart gin na kimbunga. Maisha yalikuwa magum Sanaa. Imagine nimekaa LINDO Zima digrii holder mm tu. Uzuri wa Zanzibar Kuna utalii, so fahari yangu ilikuwa kuongea nao kiingereza tu
 
Natamani uje PM ila niko na matatizo zaidi yako. Nakosa pia cha kucomment hapa .... naomba tuu nijue dini yako ninalo neno moja tuu litakalo kuondoa kwenye shida hii... nitarudi baadae!
 
nime kuelewa mkuu nitajitahidi πŸ™πŸ™πŸ™
 
asante sana πŸ™ kwa ushauri wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…