Nahisi siku zangu za kuishi Dunia zinakaribia kuisha, sielewi!

Hii ni dalili ya Msongo wa Mawazo Depression ikokomaa unakuwa ugonjwa baadaye utajikita unapata tatizo la akili.

Kwa maelezo yako nimegundua kuwa uliulisha ubongo wako over ambitions, sasa zimefail.

Cha kufanya reset ubongo, jinsi ya kureset ubongo, futa kila kitu ikijipanga kutimiza, anza upya kwa malengo madogo madogo, mfano kupata kitapato cha kula na kulipia pango au huduma za kawaida.

Achana na biashara ya kusoma vitabu, tengeneza kitabu chako kichwani kuishi hicho.

Kaa na watu wenye wa kawaida wenye mitazamo chanya kuhusu maisha.

Kaa karibu na watoto wako shea kidogo ulicho nacho hata kama ni mawazo tu.

Jaribu kuwafikiria wenye hali ngumu za maisha kama walemavu, wazee, yatima, nk ujionee wewe ulivyo mbinafsi.
 
nashukuru SANA... nitaitafuta...,🙏
 
Kama umewahi kuwa chawa wa ccm, jitafakari
 
Pia wewe ni mpenzi wa vitabu.... kuna mdau humu alipitia hali zaidi yako baada ya kifo cha wazazi ni kisa cha nyuma kidogo. Anasema alisoma kitabu cha The reptile room na sasa yupo comfortably kabisa..
Huyu anasoma vitambu vya kutusua maisha hapo ndio shida inaanza, sasa kwakuwa anaanza kuingia kwenye Sonoma atengeeneze kitabu chake kichachwani akiishi.
 
Pia wewe ni mpenzi wa vitabu.... kuna mdau humu alipitia hali zaidi yako baada ya kifo cha wazazi ni kisa cha nyuma kidogo. Anasema alisoma kitabu cha The reptile room na sasa yupo comfortably kabisa..
nitakitafuta hicho... pia
 
nitayaishi haya... shukrani sana ndugu yangu
 
Kwa Bongo ukimuona mtu anaongea peke yake usimcheke, ujuwe zamu yako bado.

Tatizo ni CCM tu.
kweli kabisa 😭....! watu wana hali ngumu sana... ni wachache sana tunao weza kuweka wazi matatizo yetu... most of them huwa wana kufa na mamivu yao moyoni😭😭😭
 
shukrani sana ndugu yangu... nitaufanyia kazi ushauri wako
 
Hama Dar es Salaam.

Hamia Mwanza.
 
Unaweza uchumi ukakaa sawa vizuri tu na ukawaleta hao watoto halafu ghafla kibao kinageuka. Ulikuwa dunia gani wakati wa jiwe?
ipo hivyo mkuu... maisha huwa yana badilika sana... nahisi wenzetu hilo awalijui😭😭😭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…