Kurunzi
JF-Expert Member
- Jul 31, 2009
- 9,753
- 10,747
Hii ni dalili ya Msongo wa Mawazo Depression ikokomaa unakuwa ugonjwa baadaye utajikita unapata tatizo la akili.
Kwa maelezo yako nimegundua kuwa uliulisha ubongo wako over ambitions, sasa zimefail.
Cha kufanya reset ubongo, jinsi ya kureset ubongo, futa kila kitu ikijipanga kutimiza, anza upya kwa malengo madogo madogo, mfano kupata kitapato cha kula na kulipia pango au huduma za kawaida.
Achana na biashara ya kusoma vitabu, tengeneza kitabu chako kichwani kuishi hicho.
Kaa na watu wenye wa kawaida wenye mitazamo chanya kuhusu maisha.
Kaa karibu na watoto wako shea kidogo ulicho nacho hata kama ni mawazo tu.
Jaribu kuwafikiria wenye hali ngumu za maisha kama walemavu, wazee, yatima, nk ujionee wewe ulivyo mbinafsi.