Nahisi siku zangu za kuishi Dunia zinakaribia kuisha, sielewi!

nashukuru SANA πŸ™
β€’ Naomba uamini hilo mkuu , kila mtu humu anamatatizo yaliyo chronic yaweza kuwa kiafya au kiuchumi, sema tu hatuja weka Wazi, tumeamua kuthubutu na kusonga mbele huku tunajipiga kifua, kuwa one day itakuwa YES

β€’ Pia Kumbuka una watoto wa 3,
Ukifa hao watoto unamwachia nani??

β€’ Ukifeli sana maisha, ludi nyumbani kwa wazee katulize akili angalau wiki kadhaa, kisha ludi kwa gear nyingine.. LAKINI SIYO KUJUA πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Pole sana mkuu usijidhuru tafadhari... hapa nimetoka kumshauri rafiki yangu anayetaka kujiua kwa sababu ya anguko la kiuchumi. Mambo yatakaa sawa tu kila kwenye mlima mbele yake Kuna mteremko
sina mawazo ya kujiua... KABISA japo future yangu siioni kabisa
 
Mtu ukiwa na hali huelewi omba Mungu akusaidie uwe mtu wa dini sana concentrate kwenye positive side ya imani siyo negative side

Pili kumbuka theory ya garbage in garbage out .Uwe selective sana na vitabu usomavyo kama unapenda kusoma Soma vitabu vinanavyokujenga positively kwenye mentality yako sio vinavyokujengea negative mentality kumbuka msemo you become what you eat

Pia chunga circle ya marafiki au people around you ambatana na kuzungukwa na watu wenye positive mentality sio negative wana o view maisha na Mungu positively sio negatively

jua kuwa Mungu hakuumba mtu yeyote worthless kwenye hii dunia.Hivyo epuka kuwa na worthless personal mentally image .Kuwa you are worthless Buikd image kuwa 8na thamani hii dunia inakuhitaji una kitu cha thamani kwa familia ,watoto ,ndugu jamii etc na kukiona kuwa they need you

usipende kuangalia horror moves filamu za kutisha na kusikiliza habari za kutisha au kuangalia

Mwisho Ridhika na upatacho kwa wakati uliopo na kitumie wisely na uishi kwa standard inayoendana na upatacho
 
Umesema unahisi siku za kuishi zinakatibia kwisha,tuzmbie kwa kuwa wewe mwandishi isijekuwa vile vinyamkera vya kuteka na kutisha waandishi vinakutisha.πŸ˜€
 
kwakweli siwezi kujidhuru kwa aina yoyote ila... kinanisumbua sioni future yangu mbele naona giza kabisa😭😭😭​
 
shukrani nitajitahidi kuyaishi haya πŸ™
 
Umesema unahisi siku za kuishi zinakatibia kwisha,tuzmbie kwa kuwa wewe mwandishi isijekuwa vile vinyamkera vya kuteka na kutisha waandishi vinakutisha.πŸ˜€
hapana sijawahi kutisha au kutishwa... 🀣🀣🀣
 
haloperidol amitriptyline na folic acid ni kitu gani hiki...?

mimi sipo tezi kumbukumbu kabisa
 
Mkuu wewe ni suicidal? Hilo ni tatizo la akili labda mshauri anaweza kukusaidia.
Unajua maisha ni kupambana usi give up wala kuback up.
Haijalishi nini unapitia pambana maana aliposema tutakula kwa jasho letu, believe me... hakutania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…