Nahisi siku zangu za kuishi Dunia zinakaribia kuisha, sielewi!

nashukuru SANA 🙏
• Naomba uamini hilo mkuu , kila mtu humu anamatatizo yaliyo chronic yaweza kuwa kiafya au kiuchumi, sema tu hatuja weka Wazi, tumeamua kuthubutu na kusonga mbele huku tunajipiga kifua, kuwa one day itakuwa YES

• Pia Kumbuka una watoto wa 3,
Ukifa hao watoto unamwachia nani??

• Ukifeli sana maisha, ludi nyumbani kwa wazee katulize akili angalau wiki kadhaa, kisha ludi kwa gear nyingine.. LAKINI SIYO KUJUA 🙏🙏🙏🙏
 
Pole sana mkuu usijidhuru tafadhari... hapa nimetoka kumshauri rafiki yangu anayetaka kujiua kwa sababu ya anguko la kiuchumi. Mambo yatakaa sawa tu kila kwenye mlima mbele yake Kuna mteremko
sina mawazo ya kujiua... KABISA japo future yangu siioni kabisa
 
Mtu ukiwa na hali huelewi omba Mungu akusaidie uwe mtu wa dini sana concentrate kwenye positive side ya imani siyo negative side

Pili kumbuka theory ya garbage in garbage out .Uwe selective sana na vitabu usomavyo kama unapenda kusoma Soma vitabu vinanavyokujenga positively kwenye mentality yako sio vinavyokujengea negative mentality kumbuka msemo you become what you eat

Pia chunga circle ya marafiki au people around you ambatana na kuzungukwa na watu wenye positive mentality sio negative wana o view maisha na Mungu positively sio negatively

jua kuwa Mungu hakuumba mtu yeyote worthless kwenye hii dunia.Hivyo epuka kuwa na worthless personal mentally image .Kuwa you are worthless Buikd image kuwa 8na thamani hii dunia inakuhitaji una kitu cha thamani kwa familia ,watoto ,ndugu jamii etc na kukiona kuwa they need you

usipende kuangalia horror moves filamu za kutisha na kusikiliza habari za kutisha au kuangalia

Mwisho Ridhika na upatacho kwa wakati uliopo na kitumie wisely na uishi kwa standard inayoendana na upatacho
 
Mimi ni kijana ambae nina mshukuru sana Mungu tokea nimezaliwa hadi hapa nilipofikia, watu wamenisaidia na bado wana nisaidia.

Kuna Muda huwa nina kufuru au kukana kutkukubaliana na uwepo wa Mungu😭 hii ni kutokana na asilimia kubwa ya matarajio yangu tokea nikiwa mdogo hayakuwahi kutimia.

Maisha yangu yamekuwa ya mitihani sana, kila nilichojaribu kuanzisha hakikuwahi kufika mwisho 😭😭😭 kwakweli nimeishi nikiwa na huzuni na furaha chache, mpaka hapa nilipofikia nina watoto wa 3 ambao ninawapenda mno.

Vipo vitu vichache ambavyo vinanitokea hivi sasa vinapelekea mimi kuhisi pengine siku zangu hapa Duniani zina karibia kuisha.

Hivi karibuni kichwa changu kimekuwa kizito mno kutoa maamuzi na ni kama kichwa kinanielemea, kimekuwa na maumivu fulani mithili ya kichwa kilicho toka kuuma!

Kwa taaluma mimi ni Mwandishi wa Habari ambaye napenda sana kusoma vitabu na asilimia kubwa ya vitu vingi nimejifunza kutokana na kusoma vitabu, lakini hivi karibuni nimepatwa na hali ya kutokuelewa kila ninacho kisoma.

Vitabu vyote ambavyo nilikuwa navipenda nikivisoma nahisi vinanichanganya, hata baadhi ya mada nilizokuwa nazipenda hapa JAMIIFORUMS nazo pia nimekuwa sizielewi.🥲

Nimepatwa na hofu hata nikikaa karibu na watu ninaowapenda sifurahii uwepo wao, nahisi kujitenga tu nikae peke yangu tu muda wote.

Ikitokea hamjaniona hewani mwezi mzima mfululizo mjue siku zangu niliziona kabisa zinahesabika hivyo malaika mtoa roho atakuwa amesha fanya yake.

Sifikirii kabisa kujiua kwa aina yoyote ile japo kwenye maisha yangu udogoni mwanangu nilishawahi mara 2 kujaribu kujiua. 😭

Mara ya kwanza nilijaribu kunywa sumu haikuniua, hapo nilikuwa na miaka 9 au 10, mwaka mmoja baadae nilijaribu kujinyonga bahati mbaya kile kitanzi pia hakikuondoka na maisha yangu.

Hivyo nichukue fursa hii kuwaaga ndugu zangu wana JAMIIFORUMS ambao tumeishi wote humu ndani kama familia. Kuna member humu nimesaidiana nao bila hata kufahamiana nao big up sana.

Kuna wengine tumekuwa ndugu na hata nje ya JAMIIFORUMS tumekuwa tukionana kwakweli sina cha kuwalipa.​
Umesema unahisi siku za kuishi zinakatibia kwisha,tuzmbie kwa kuwa wewe mwandishi isijekuwa vile vinyamkera vya kuteka na kutisha waandishi vinakutisha.😀
 
• Naomba uamini hilo mkuu , kila mtu humu anamatatizo yaliyo chronic yaweza kuwa kiafya au kiuchumi, sema tu hatuja weka Wazi, tumeamua kuthubutu na kusonga mbele huku tunajipiga kifua, kuwa one day itakuwa YES

• Pia Kumbuka una watoto wa 3,
Ukifa hao watoto unamwachia nani??

• Ukifeli sana maisha, ludi nyumbani kwa wazee katulize akili angalau wiki kadhaa, kisha ludi kwa gear nyingine.. LAKINI SIYO KUJIUA 🙏🙏🙏🙏
kwakweli siwezi kujidhuru kwa aina yoyote ila... kinanisumbua sioni future yangu mbele naona giza kabisa😭😭😭​
 
Mtu ukiwa na hali huelewi omba Mungu akusaidie uwe mtu wa dini sana concentrate kwenye positive side ya imani siyo negative side

Pili kumbuka theory ya garbage in garbage out .Uwe selective sana na vitabu usomavyo kama unapenda kusoma Soma vitabu vinanavyokujenga positively kwenye mentality yako sio vinavyokujengea negative mentality kumbuka msemo you become what you eat

Pia chunga circle ya marafiki au people around you ambatana na kuzungukwa na watu wenye positive mentality sio negative wana o view maisha na Mungu positively

jua kuwa Mungu hakuumba mtu yeyote worthless kwenye hii dunia.Hivyo epuka kuwa na worthless personal mentally image .Kuwa you are worthless Buikd image kuwa 8na thamani hii dunia inakuhitaji una kitu cha thamani kwa familia ,watoto ,ndugu jamii etc na kukiona kuwa they need you

usipende kuangalia horror moves filamu za kutisha na kusikiliza habari za kutisha au kuangalia

Mwisho Ridhika na upatacho kwa wakati uliopo na kitumie wisely na uishi kwa standard inayoendana na upatacho
shukrani nitajitahidi kuyaishi haya 🙏
 
Umesema unahisi siku za kuishi zinakatibia kwisha,tuzmbie kwa kuwa wewe mwandishi isijekuwa vile vinyamkera vya kuteka na kutisha waandishi vinakutisha.😀
hapana sijawahi kutisha au kutishwa... 🤣🤣🤣
 
Prince Mhando una psychosis.. una mental I'll iliyokomaa hasa tabgu nikufaham.

Ugumu wa maisha utakupoteza kabisa. Kwa kazi zote ulizofanya hujapata ya kukomaa nayo na kumbkumb zangu zinanambia upo unalinda shamba kisarawe la The bump. Je tatizo nn hasa?

Kama uliwahi kufikiria kujiua maana yake unatembea na wazo Hilo.. unahitaji haloperidol amitriptyline na folic acid. Pia therapy mana kwa hali hiyo utaanza kupata maruwe ruwe yani kuongea peke yako tena hivyo na kuokota karatas.

Nina ndugu yangu ana experience kama yako, unahitaji therapy na matibabbya mda mrefu sana kurudi kuwa kawaida. Umeshaianza kupoteza memory na huwezi kuconceteate? Duh
haloperidol amitriptyline na folic acid ni kitu gani hiki...?

mimi sipo tezi kumbukumbu kabisa
 
Mimi ni kijana ambae nina mshukuru sana Mungu tokea nimezaliwa hadi hapa nilipofikia, watu wamenisaidia na bado wana nisaidia.

Kuna Muda huwa nina kufuru au kukana kutkukubaliana na uwepo wa Mungu😭 hii ni kutokana na asilimia kubwa ya matarajio yangu tokea nikiwa mdogo hayakuwahi kutimia.

Maisha yangu yamekuwa ya mitihani sana, kila nilichojaribu kuanzisha hakikuwahi kufika mwisho 😭😭😭 kwakweli nimeishi nikiwa na huzuni na furaha chache, mpaka hapa nilipofikia nina watoto wa 3 ambao ninawapenda mno.

Vipo vitu vichache ambavyo vinanitokea hivi sasa vinapelekea mimi kuhisi pengine siku zangu hapa Duniani zina karibia kuisha.

Hivi karibuni kichwa changu kimekuwa kizito mno kutoa maamuzi na ni kama kichwa kinanielemea, kimekuwa na maumivu fulani mithili ya kichwa kilicho toka kuuma!

Kwa taaluma mimi ni Mwandishi wa Habari ambaye napenda sana kusoma vitabu na asilimia kubwa ya vitu vingi nimejifunza kutokana na kusoma vitabu, lakini hivi karibuni nimepatwa na hali ya kutokuelewa kila ninacho kisoma.

Vitabu vyote ambavyo nilikuwa navipenda nikivisoma nahisi vinanichanganya, hata baadhi ya mada nilizokuwa nazipenda hapa JAMIIFORUMS nazo pia nimekuwa sizielewi.🥲

Nimepatwa na hofu hata nikikaa karibu na watu ninaowapenda sifurahii uwepo wao, nahisi kujitenga tu nikae peke yangu tu muda wote.

Ikitokea hamjaniona hewani mwezi mzima mfululizo mjue siku zangu niliziona kabisa zinahesabika hivyo malaika mtoa roho atakuwa amesha fanya yake.

Sifikirii kabisa kujiua kwa aina yoyote ile japo kwenye maisha yangu udogoni mwanangu nilishawahi mara 2 kujaribu kujiua. 😭

Mara ya kwanza nilijaribu kunywa sumu haikuniua, hapo nilikuwa na miaka 9 au 10, mwaka mmoja baadae nilijaribu kujinyonga bahati mbaya kile kitanzi pia hakikuondoka na maisha yangu.

Hivyo nichukue fursa hii kuwaaga ndugu zangu wana JAMIIFORUMS ambao tumeishi wote humu ndani kama familia. Kuna member humu nimesaidiana nao bila hata kufahamiana nao big up sana.

Kuna wengine tumekuwa ndugu na hata nje ya JAMIIFORUMS tumekuwa tukionana kwakweli sina cha kuwalipa.​
Mkuu wewe ni suicidal? Hilo ni tatizo la akili labda mshauri anaweza kukusaidia.
Unajua maisha ni kupambana usi give up wala kuback up.
Haijalishi nini unapitia pambana maana aliposema tutakula kwa jasho letu, believe me... hakutania
 
Back
Top Bottom