Nahisi siku zangu za kuishi Dunia zinakaribia kuisha, sielewi!

Nimepatwa na hofu hata nikikaa karibu na watu ninaowapenda sifurahii uwepo wao, nahisi kujitenga tu nikae peke yangu tu muda wote.
Ona mwamba

We are OF God and we live FOR mankind

Yaani sie ni wa Mungu na tupo kwa ajili ya Wanadamu wenzetu. Kila kitu kipo hivyo sasa wewe unahangaika nini?

Usipojiua utajilaumu sana na ukijiua utajilaumu mnoo! Kwa hiyo kama itikadi yako imekaa kujilaumu jua utajilaumu tu.

Lawama mojawapo unaweza ibadili lakini lawama nyingine hutakaa uibadili. So chukua option ambayo inakuruhusu kuendelea kuwa na options siku zote. There lies your power.

Hebu achana na lawama halafu endelea kuishi na flow tu. Na ikiwa utataka kumuomba Mungu basi omba kuwasaidia watu (wake). Endelea kuishi, kiishi kwetu ni faida kwa watu tunaoishi nao na ndio jukumu letu hapa duniani. Of God for mankind.
 
sina disability yoyote... even now mimi ni dereva wa Bodaboda kupitia UBER ama Bolt.... hivyo mimi ni mpambanaji sana... ila future yangu siioni kabisa​
• Vizuri mkuu,
Ukiachana na FUTURE nakuona upo sehemu zuri kabisa, nikilinganisha na maisha ya watu wengine......

• mkuu ivi unajua kuna watu wanatamani angalau wapate hata mlo mmoja tu kwa siku, lakini huwezi kuona wanafikiria masuala ya kujitoa uhai?


FUTURE, inatengenezwa taratibu mkuu,

"MDA MWINGINE UNAWEZA KUTAKA KUWAHI, ALAFU UKAWAHI MOJA KWA MOJA" hii siyo zuri kabisa kwenye maisha ya Binadamu.
 
Safi sana,ndio maana ya kuwa platinum member.
 
asante sana 🙏 kwa ushauri wako
 
asante sana 🙏 kwa ushauri wako
 
Nadhani hiyo ndio hatma yako,Kuna Uzi uliandika mwaka Jana unafanana na huu watu wakakushauriii nikiwemo Mimi binafsi,na Leo Tena unarudia the same shit!yaani kifupi umeshindwa kujipambania amani na future yako.. Binafsi Nikutakie farewell,au wengine wakisema bon voyage
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…