Uhakika Bro
JF-Expert Member
- Mar 29, 2022
- 3,644
- 4,315
Ona mwambaNimepatwa na hofu hata nikikaa karibu na watu ninaowapenda sifurahii uwepo wao, nahisi kujitenga tu nikae peke yangu tu muda wote.
We are OF God and we live FOR mankind
Yaani sie ni wa Mungu na tupo kwa ajili ya Wanadamu wenzetu. Kila kitu kipo hivyo sasa wewe unahangaika nini?
Usipojiua utajilaumu sana na ukijiua utajilaumu mnoo! Kwa hiyo kama itikadi yako imekaa kujilaumu jua utajilaumu tu.
Lawama mojawapo unaweza ibadili lakini lawama nyingine hutakaa uibadili. So chukua option ambayo inakuruhusu kuendelea kuwa na options siku zote. There lies your power.
Hebu achana na lawama halafu endelea kuishi na flow tu. Na ikiwa utataka kumuomba Mungu basi omba kuwasaidia watu (wake). Endelea kuishi, kiishi kwetu ni faida kwa watu tunaoishi nao na ndio jukumu letu hapa duniani. Of God for mankind.