Nahitaji Gari ya Toyota yenye Engine Six Cylinder but ulaji Mzuri wa Mafuta

Premio ya cc ngapi hio yako?
 
Wewe ndio ufunzwe,hizo story za standards hakunaga huku kwny magari.K

Maswala ya kukariri tu 6 cylinders inakula kuliko 4 cylinders ni ya kizamani hayo.
Shida mkuu unaonekana una elimu ya kukariri,punguza kujimwambafy-Everything unajua,Punguza hzo mambo.
 
Si ndio itakuwa raha, ili tuwe nayo wengi.. au hutaki kuwa nalo ndugu yangu πŸ˜€πŸ˜€
Mimi napendelea suv za bei chee 🀣,niko kwenye rav4 hapa najipanga panga niupgrade kwenye kluger japo naprefer sana vanguard ila mfuko haueleweki 🀣
 
Mimi napendelea suv za bei chee 🀣,niko kwenye rav4 hapa najipanga panga niupgrade kwenye kluger japo naprefer sana vanguard ila mfuko haueleweki 🀣
Uwe na subira mkuu, chukua Vanguard ile ni machine, kwanza inatembea kishenzi. Nilishawai toka Dar to Mwanza kwa hoyo kitu, ni tamu asikwambie mtu
 
Ukiona mtu analalamika manake hastahili kuwa kwenye hilo daraja,Sijawah tegemea kumwona Mo and Mengi wakilalamikia poor gar milleage kwenye Range.
Inategemea
Napenda ma engine makubwa lakn pia napenda ku achieve better milages na Mara nyingi huwa nafanikiwa
Driving is an art too , ukiweza ku command engine ikakupa kile unachotaka ina raha yake ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…