Nahitaji kazi yoyote ili nipate 1,050,000/= ndani ya siku 7

Haiwezi kuwa rahisi hivyo mdogo wangu!
Ila kwa vile Mungu huandaa njia ya kutokea unapobiliwa na wakati mgumu hivyo usife moyo.
Kweli kabisa ,mpaka nmefikia kuweka public hiv jua kichwa cha moto sana
 
Hio 200k ya stake sasa
 
Kwanza pole sana lakini naamini Mungu ni mwaminifu atakuvukisha salama kutoka kwenye huo mkwamo. Jaribu mkopo na uwe na kitu cha dhamana chenye thamani ya zaidi ya hiyo pesa unayohitaji
 
"Kazi yyte isipokuwa kuua tu" hii statement ni tata mno mkuu.

Nakuomba utengue hii kauli kabla ya wazee wa vibiriti hawajaushukia Uzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…