Nahitaji kazi yoyote ili nipate 1,050,000/= ndani ya siku 7

Tulianza mapambano tukiwa na umri mdogo sana, na nimefanikiwa kusoma mpaka diproma ya IT kwa kazi ya kuendesha bodaboda. wewe unakwama wapi?
Mkuu kwanza jua jambo moja kozi za afya muda finyu sana watu wanabanwa kuanzia class unatakiwa uwepo darasani kila siku na uwe umesaini anagalau 90% ili uweze kuruhusiwa kufanya pepa sasa si jambo dogo hilo na ukizingatia asubuhi uwe class unatoka saa 10. Bado hujasoma nk so si rahisi japo inawezekana kupambana pia
 
Asante sana , n ngum mtu kuelewa lakin ndio maisha
 
Kila mtu , kila familia na kila ukoo unachangamoto za kiuchumi.
Ulichotakiwa kufanya ni kuangalia uwezo wako wa kijeshi kabla hujaenda kupigana na jeshi jingine ili usije kushindwa njiani ukaonekana mpumbavu.
Ni busara za Yesu hizo sio mimi
Kuna wakati maisha yanakulazimisha usisubiri ili ufanye jambo fulani. Hivyo tumuelewe tu.

Ushauri wangu ukichomoka hapo tafuta gvt instute ukasome private watakukausha hawana huruma pale ni biashara unapewa huduma unatakiwa ulipie na walimu nao walipwe stahiki zao so hakuna fair.
 
Sept ntabadili institute , ngoja nipite kwanza hili jaribu
 
Kila mtu , kila familia na kila ukoo unachangamoto za kiuchumi.
Ulichotakiwa kufanya ni kuangalia uwezo wako wa kijeshi kabla hujaenda kupigana na jeshi jingine ili usije kushindwa njiani ukaonekana mpumbavu.
Ni busara za Yesu hizo sio mimi
Uko sahihi kiongoz
 
Mkuu ulisoma degree pale? Kuna kozi nahitaji kufafanuliwa pale na kupewa muongozo ipi ni bora, unaweza kunisaidia hilo???
Bsc.AF , BACHELOR OF SCIENCE IN ACCOUNTING AND FINANCE.... SCHOOL OF SERBI................



ULIZA TUU
 
Nmeongelea Ateba nkimaanisha watu wa kubeti kwa lugha ya picha kua unabet over alafu striker hafungi
Alafu miaka 28 n kua nmerud skuli kwa hiari yangu sio kwamba nasomeshwa na mtu
Pambana acha kulialia hapa wakati hauko serious. Nenda ukabet upate hiyo hela.
 
Yaani ukipata kazi inayoweza kukuingizia hicho kiasi unaenda kuendelea na masomo ili iwaje kwa mfano?
 
Yaani ukipata kazi inayoweza kukuingizia hicho kiasi unaenda kuendelea na masomo ili iwaje kwa mfano?
Kaz inaweza kua endelevu, inaweza kua hata ya miez 3 lakin nikapewa hio amount nayohitaj ndan ya muda hii week ....hio ndio point yangu
 
Kaz inaweza kua endelevu, inaweza kua hata ya miez 3 lakin nikapewa hio amount nayohitaj ndan ya muda hii week ....hio ndio point yangu
Nakupa kidonge kigumu kumeza: labda uuze Figo ndugu yangu πŸ™
 
Kukimbia nayo sio shida ,shida kuichukua πŸ˜…πŸ™πŸ»
umeambiwa wewe kazi yako ni kukuimbia nayo ina maana wapo watakaoichuku na kukupa wewe ukimbie nayo πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…