Nahitaji kujua kazi maalumu za askari wa kila cheo(JWTZ)

Hongera na asante
 
Kuna hao Agents au Undercover kwa kifupi Intelligence officer wengi wao ni TISS
 
Tanzania kuna aina mbili za Intelligence organization,ya kwanza CI ya pili MI , ina maana wewe wamaanisha MI wanaripoti sehemu mbili yaani Ofisi ya rais na kwa CDF ?

Anaripoti kwa CDF, kuna walio chini ya CDF wanaripoti kivyeo kwa CDF ila wapo chini ya ofisi ya rais kiutendaji,..... Unajua maana ya undercover?
 
Nikajua wanaenda kupeana update ya mbinu mpya za kijeshi, kusoma jiographia ya mataifa mbalimbali yaliowazunguka, kujua Wanamiliki silaha gani na Kama ikitokea mizozo wakabiliane vipi kumbe wako tu wanasubiri vita kazi kweli kweli
 
Vita havikutumii barua au kukupa ratiba vinakuja lini

Wapiganishaji wa vita inachukua miaka kumtengeneza na sio muda mfupi kama unavyofikiri na ndio maana dunia nzima kuna majeshi yenye idadi ya kutosha ya watu na tena nchi nyingine majeshi ni makubwa sana
Nikajua wanaenda kupeana update ya mbinu mpya za kijeshi, kusoma jiographia ya mataifa mbalimbali yaliowazunguka, kujua Wanamiliki silaha gani na Kama ikitokea mizozo wakabiliane vipi kumbe wako tu wanasubiri vita kazi kweli kweli
 
Nikajua wanaenda kupeana update ya mbinu mpya za kijeshi, kusoma jiographia ya mataifa mbalimbali yaliowazunguka, kujua Wanamiliki silaha gani na Kama ikitokea mizozo wakabiliane vipi kumbe wako tu wanasubiri vita kazi kweli kweli
Wewe mshamba sana boss.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…